Posts

Showing posts from December, 2022

JE UNAJUA DELTA YA RUFIJI NDIO ENEO ZIMEZAMISHWA MELI KUBWA MBILI ZA KIVITA ZA UJERMANI?

Image
  Delta ya Rufiji. Picha kupitia panoramio.com © Bernd Zehring (https://ssl.panoramio.com/photo/802524 ) Kwa nini walikuwa wamekuja huku na walikuwa karibu kufanya nini? Washambulizi wa Biashara Baada ya kuanza Vita vya Kwanza vya Dunia, Jeshi la Wanamaji la Kifalme la Ujerumani lilikuwa na manuari nne zilizowekwa katika sehemu mbali mbali za ulimwengu. Meli hizi za kivita zilikuwa tishio kubwa kwa Uingereza  kufanya biashara na zilivuruga njia zote za bishara na usafirishaji lilikuwa jambo ambalo  Admiralty, Winston Churchill, kwa wazi alitaka kuliepuka.  Wanamaji wa SMS Karlsruhe na SMS Dresden walikuwa nje ya pwani ya mashariki ya Mexico; katika Pasifiki kulikuwa na kikosi chenye nguvu cha wanamaji, ambacho kilijumuisha SMS maarufu Emden, ambayo  ilianza safari ya ajabu na kusababisha hofu kubwa kwa meli katika Bahari ya Hindi. Wakati huo huo, pwani ya Afrika Mashariki kulikuwa na hii SMS Konigsberg. SMS Konigsberg jijini Dar es Salaam. mchoro na Ian Marshall. ©Ian Marshall / J. Rus

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi leo ameshiriki katika Swala ya Ijumaa Masjid Al Swafaa Gongoni Wilaya ya Mjini Mkoa Mjini Magharibi pamoja Waumini mbalimbali. 📆30 Disemba 2022, 📍 Masjid Al Swafaa ,Gongoni,Mkoa wa Mjini Magharibi.

Image
 

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ashiriki katika Mkutano wa Viongozi wa Afrika na Marekani Jijini Washington Marekani

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (Kulia) akisikiliza kwa makini Hotuba ya Rais wa Marekani  Mhe. Joe Biden (Kushoto) alipokua akizungumza na Viongozi wa Afrika katika ukumbi wa Convention Centre Jijini Washington DC nchini Marekani tarehe 15 Desemba 2022   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Malawi Dkt. Lazarus Chakwera ndani ya ukumbi wa Convention Centre Jijini Washington DC nchini Marekani wakati wa mkutano wa Viongozi wa Afrika na Marekani unaoendelea tarehe 15 Desemba 2022    

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA NA VIONGOZI MBALIMBALI WA AFRIKA NA MAREKANI KWENYE MKUTANO WA MASUALA YA KILIMO NA USALAMA WA CHAKULA

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano wa Viongozi wa Afrika na Marekani (U.S Afirica Leaders Summit) wakati wakijadili masuala ya Kilimo, Usalama wa Chakula na Uzalishaji wa Chakula,  uliofanyika katika ukumbi wa Convention Centre Jijini Washington DC nchini Marekani tarehe 15 Desemba 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Marekani  Mhe. Joe Biden pamoja na Viongozi mbalimbali wa nchi za Afrika na Marekani kabla ya kuanza kwa ufungaji wa mkutano huo uliofanyika kwenye ukumbi wa Convention Centre Jijini Washington DC nchini Marekani tarehe 15 Desemba 2022  

" UTAFITI WA MBEGU UZINGATIE HALI YA HEWA” DK. JINGU

Image
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. John Jingu  akitembelea mabanda baada ya kufungua warsha hiyo. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. John Jingu  akizungumza  katika ufunguzi wa warsha ya kuelimisha wadau kuhusu Kazi za Muunganiko wa Taasisi za Kimataifa za Utafiti wa Kilimo ( CGIAR ) iliyofanyika Jijini Dodoma. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. John Jingu  (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa warsha hiyo. NA MWANDISHI WETU - DODOMA Watafiti wa masuala ya kilimo nchini wametakiwa kutumia matokeo ya utafiti wao wanaofanya  katika kuboresha mbegu bora za mazao zinazoendana na mabadiliko ya tabia nchi ili  kuwa na tija katika sekta . Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Dkt. John Jingu wakati akifungua  warsha ya kuelimisha wadau kuhusu Kazi za Muunganiko wa Taasisi za Kimataifa za Utafiti wa Kilimo ( CGIAR ) Jijini Dodoma. Dk.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Baadhi ya Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Marekani katika ukumbi wa US Convention Centre Jijini Washington DC nchini Marekani tarehe 14 Disemba 2022, ikiwa ni sehemu ya Mkutano wa Viongozi wa Afrika na Marekani.

Image
 

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Azungumza Na Viongozi Mbalimbali Kwenye Mkutano Wa Agra Uliofanyika Jijini Washington Marekani Tarehe 12 Desemba, 2022

Image
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali kuhusu masuala ya Kilimo katika Mkutano wa AGRA uliofanyika katika Ofisi za Taasisi ya Bill na Melinda Gates, Jijini Washington Marekani tarehe 12 Desemba, 2022. . . . Viongozi mbalimbali pamoja na Wadau walioshiriki kwenye Mkutano wa Agra uliofanyika katika Ofisi za Taasisi ya Bill na Melinda Gates, Jijini Washington Marekani tarehe 12 Desemba, 2022. . Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn ambaye ni Mwenyekiti wa Mfuko wa AGRF pamoja na wadau mbalimbali mara baada ya mkutano wa Agra uliofanyika katika Ofisi za Taasisi ya Bill na Melinda Gates, Jijini Washington Marekani tarehe 12 Desemba, 2022.

SERIKALI IMEENDELEA KUIMARISHA URATIBU WA DHANA YA AFYA MOJA NCHINI

Image
Mwenyekiti wa Baraza la Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) Dkt. Andrew Yona Kitua akizungmza wakati wa mkutano wa wadau wa Afya Moja. Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Menejimenti ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Kituo cha Operesheni na Mawasiliano ya Dharura Bw. Prudence Constantine akifungua Mkutano wa Maafisa Viungo wa Afya Moja kwa ajili ya Tathimini ya Utekelezaji wa Shughuli za Afya Moja kwa mwaka 2022 uliofanyika tarehe 13 Desemba, 2022 katika Ukumbi wa mikutano hoteli ya Edema Mkoani Morogoro.   Mratibu wa Afya Moja Idara ya Menejimenti ya Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu Dkt.Baltazar Leba akichangia jambo wakati wa Mkutano huo.   Mshauri Elekezi kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) Bi.Peragia Muchuruza akichagia hoja wakati wa mkutano huo. Mtaalam Mshauri wa Afya Moja kutoka Taasisi ya RBA Initiative (Roll Back Antimicrobial Resistance Initiative) Bw. Harrison Chinyuka akiongoza mkutano wa wadau wa Afya Moja Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tanzania Mission for