Posts
TULIVYO IKOMBOA UNGUJA TOKA KWA WAARABU MZEE KUNDI KHERImp4
- Get link
- X
- Other Apps
NI MAKOSA KUTANGAZA AMA KUJITANGAZA NAJIMA GIGA #ZANZIBAR SHWARI WATU WANAENDELEA NA KAZI ZAO KILA KONA http://zanzibariamani.blogspot.com/ http://www.hulkshare.com/ZANZIBARI_AMANI
- Get link
- X
- Other Apps
MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR, BALOZI SEIF ASIMAMISHA UJENZI WA NYUMBA YA GHOROFA MJINI UNGUJA, ZANZIBAR
- Get link
- X
- Other Apps
Balozi Seif akipokea malalamiko ya Wakaazi wa Mtaa wa Mlandege wakimshutumu Mmiliki wa Kiwanja cha jengo la Ghorofa Bwana Anuari Abdulla anayejenga pamoja na eneo la wazi. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiwasili mtaa wa Mlandege kukagua kiwanja cha nyumba ya Ghorofa kinacholalamikiwa na Wakaazi wa Mtaa huo kwamba kimevamia pia eneo la wazi linalotumika kwa shughuli za Kijamii. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiwasili mtaa wa Mlandege kukagua kiwanja cha nyumba ya Ghorofa kinacholalamikiwa na Wakaazi wa Mtaa huo kwamba kimevamia pia eneo la wazi linalotumika kwa shughuli za Kijamii. Mmiliki wa Kiwanja cha nyumba ya Ghorofa Mlandege Bwana Anuari Abdullah akijitetea kupata kibali kinachomruhusu kuendeleza ujenzi wa nyumba yake. Mmiliki wa Kiwanja cha nyumba ya Ghorofa Mlandege Bwana Anuari Abdullah akijitetea kupata kibali kinachomruhusu kuendeleza ujenzi wa nyumba yake. Makamu wa Pili wa Rais...
MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR, BALOZI SEIF ALI IDDI AJITOKEZA KUUNGA MKONO ZOEZI LA USAFI
- Get link
- X
- Other Apps
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akijuika pamoja na Watumishi na Wananchi wa Wilaya ya Magharibi”B” katika usafi wa mazingira kwenye mtaro wa maji ya Mvua uliopo Kwa Kira karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kusherehekea maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Tanganyika Tarehe 9 Disemba. Wa Pili kutoka Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Dr. Mwinyihaji Makame akiwa miongoni mwa Watumishi wa Umma waliojitokeza kushiriki usafi wa mazingira kuadhmisha siku ya Uhuru wa Tanganyika hapo Kwa kira. Wa Kwanza kutoka Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “B” Nd. Ayoub Mohammed Mahomud na mwenye pauro aliyeinama kwenye Mtaro ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Picha na – OMPR – ZNZ. --- Watanzania Nchini kote wameungana pamoja katika kusherehekea kilele cha maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Jamuhuri ya Tanganyika iliyojikomboa kutoka katika Utawala wa Kingereza Tarehe 9 Disemba Mwaka 1961ambapo imeshafikia miaka...
ZOEZI LA USAFI WA MAZINGIRA NCHI NZIMA DK.SHEIN AJUMUIKA NA WANANCHI
- Get link
- X
- Other Apps
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Zanzibar Khatib Abrahman Khatib wakati alipowasilikati eneo la Malindi Mjini Zanzibar katika zoezi ka Usafi wa mazingira katika kuadhimisha miaka 54 ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lililoshirikisha Viongozi na Wananchi mbali mbali nchini. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizoa taka katika zoezi ka Usafi wa mazingira katika kuadhimisha miaka 54 ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania eneo la Malindi Mjini Unguja leo zoezi ambalo liliwashirikisha Viongozi na Wananchi mbali mbali nchini (kushoto) Waziri wa Ardhi,Maji,Makaazi na Nishati Ramadhan Abdalla Shaaban. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizoa taka katika zoezi ka Usafi wa mazingira katika kuadhimisha miaka 54 ya Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania eneo la Malindi Mjin...