Posts

Image
MAGAZETI YA LEO DECEMBER 30,2017
Image
MBUNGE MGIMWA AMEKABIDHI MIFUKO 400 YA SARUJI NA BATI 150 KWA AJILI YA UJENZI NA UKARABATI WA MAJENGO YA SHULE NA ZAHATI ZA KATA YA MAPANDA Mbunge wa Mufindi Kaskazini Mahamoud Mgimwa akiwa na diwani wa kata ya Mapanda Obed Kalenga na mwenyekiti wa kijijicha Ihimbo wakati wa kueleza vitu gani ambavyo amevifanya kwenye kata hii kwa ajili ya maendeleo ya wananchi wa kata ya Mapanda Mbunge wa Mufindi Kaskazini Mahamoud Mgimwa akiwa kwenye moja ya darasa ambalo litakarabatiwa kutumia mfuko wake wa jimbo ili liwe kwenye kiwango kinachotakiwa Mbunge wa Mufindi Kaskazini Mahamoud Mgimwa  akiwa na viongozi mbalimbali wakikagua majengo ya shule na kuangalia majengo yapi yanastahili kukarabatiwa  Mbunge wa Mufindi Kaskazini Mahamoud Mgimwa akiwa kwenye moja ya zahati ambayo inatakiwa kufanyiwa ukarabati ili kuboresha huduma za afya kwa wananchi wa kata ya Mapanda  Na Fredy Mgunda,Mufindi. Mbunge wa Mufindi Kaskazini Mahamoud Mgimwa  ...
Image
VIONGOZI WA AMCOS 10 ZILIZOHUJUMU MINADA YA KOROSHO PWANI WATIWE MBARONI-RC NDIKILO Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama mkoani Pwani, ambae pia ni mkuu wa Mkoa huo, mhandisi Evarist Ndikilo ,akionyesha picha zinazoonyesha korosho zilizochanganywa mawe na mchanga ,na kusababisha kutia doa minada ya Korosho inayoendelea mkoani hapo ,wakati alipokuwa wilayani Mkuranga. Na Mwamvua Mwinyi,Mkuranga MWENYEKITI wa kamati ya ulinzi na usalama mkoani Pwani ,mhandisi Evarist Ndikilo ameliagiza jeshi la polisi mkoani hapo ,kuwakamatana na kuwahoji viongozi wa vyama vya ushirika vya msingi (AMCOS)kumi ,kutokana na kosa la kufanya udanganyifu wa ubora na uzito wa korosho ili kujipatia fedha . Amesema kuna baadhi ya AMCOS zimehusika kuchakachua na kutelemsha ubora wa korosho pamoja na kuweka mawe na michanga kwenye magunia ya korosho zilizokuwa zinauzwa kwenye minada . Aidha mhandisi Ndikilo ,amekemea maghala ya vichochoroni na majumbani ambayo yamejaa na kusaba...
Image
TAARIFA YA SERIAKLI KUHUSU MWENENDO WA HALI YA UCHUMI NA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2017/18 Dec 29, 2017 Waziri wa Fedha na Mipango Philip Mpango akizungumza na waandishi wa habari leo kwenye ofisi ndogo za Hazina jijini Dar es salaam, kuelea hali ya uchumi kwa kipindi cha mwaka 2017-2018 na changamoto zilizojitokeza. IFUATAYO NDIYO TAARIFA YENYEWE TAARIFA KUHUSU MWENENDO WA HALI YA UCHUMI  NA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2017/18 29 DESEMBA, 2017 UTANGULIZI Nashukuru sana kupata fursa nyingine ya kuzungumza nanyi leo tunapokaribia mwisho wa mwaka 2017. Lengo la Serikali ni kuwapatia Watanzania taarifa rasmi kuhusu (i) mwenendo wa uchumi wa Taifa kwa kipindi cha Januari hadi Juni 2017 na kwa miezi ya hivi karibuni pale ambapo tunazo takwimu, (ii) utekelezaji wa bajeti ya Serikali 2017/18 hadi sasa, (iii) changamoto zilizopo mbele yetu na matarajio mpaka Juni 2018. Aidha, nitatoa ufafanuzi kwa lugha nyepesi katika baadhi ya maeneo ambayo yam...