Posts

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MAKAMU WA RAIS WA KAMPUNI YA KIMATAIFA YA PHILIP MORRIS GREGOIRE VERDEAUX IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Kimataifa ya Philip Morris, Gregoire Verdeaux na Ujumbe wake walipofika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 16 Juni, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Kampuni ya Kimataifa ya Philip Morris, Gregoire Verdeaux na Ujumbe wake mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 16 Juni, 2023    

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Moses Mpogole Kusiluka kuwa Balozi kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 16 Juni, 2023 . Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Eng. Rogatus Hussein Mativila kuwa Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, TAMISEMI (Miundombinu) kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 16 Juni, 2023.   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Kamishna wa Polisi Benedict Michael Wakulyamba kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 16 Juni, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Iddi Seif Bakari kuwa Balozi nchini Uturuki kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 16 Juni, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Has...

KELELE NA MITETEMO INAUWA WATOTO NJITI 12,000 KWA MWAKA ULAYA PEKE YAKE

Image
Shirika la Afya Duniani (WHO) limebainisha kelele kuwa ni mojawapo ya kisababishi cha madhara katika maisha ya binadamu. Aidha, kwa mujibu wa “European Environmental Agency” (EEA, 2018) kelele zimeainishwa kuwa mojawapo ya visababishi vya vifo vya mapema vya watoto “Pre-mature death” ambapo takwimu zinaonyesha takribani watoto 12,000 hufariki kila Mwaka katika Bara la Ulaya”. Katika nchi yetu changamoto ya kelele zinazozidi viwango vilivyoainishwa na TBS zinatokana na kukua kwa shughuli za kiuchumi na kijamii ikiwemo matumizi yasiyo sahihi ya teknolojia. Kwa siku za hivi karibuni, kelele zimeongezeka kwenye maeneo ya kazi na hivyo kusababisha matatizo ya kiafya ikiwemo kupoteza uwezo wa kusikia, matatizo ya uzazi, kupunguza umakini katika mafunzo, ajali na kupungua uwezo wa kusikilizana. Vyanzo vikuu vya kelele hizi ni kumbi za starehe hasa biashara za vileo (baa), vyombo ya usafiri na usafirishaji (kama magari, ndege na treni), matumizi ya teknolojia zilizopitwa na wakati kwenye viwan...

MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WATANZANIA WANAOISHI NAMIBIA ‘DIASPORA’

Image
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na baadhi ya Watoto wa Kitanzania wanaoishi nchini Namibia mara baada ya kuzungumza na Watanzania (Diaspora) katika Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania Jijini Windhoek tarehe 08 Mei, 2023.   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Watanzania (Diaspora) wanaoishi nchini Namibia mara baada ya kuzungumza nao katika Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania Jijini Windhoek nchini Namibia tarehe 08 Mei, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Maafisa Ubalozi wa Tanzania nchini Namibia mara baada ya kuzungumza nao katika Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania Jijini Windhoek nchini Namibia tarehe 08 Mei, 2023.   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na baadhi ya Watoto wa Kitanzania wanaoishi nchini Namibia mara baada ya kuzungumza na Watanzania (Diaspora) katika O...

JE UNAJUA ZANZIBAR ILIBEBA JUKUMU LA SAFARI YA APOLLO 11 20.7.1969, ...

Image
ZANZIBAR, KIMYA  KIMYA  ILICHUKUA JUKUMU MUHIMU KATIKA SAFARI ZA ANGA   Z A MAREKANI KUTUA  MWEZI NI.THAMANI YA NCHI YETU ISIYOSEMWA MARANYINGI Vituo  viwili  vya satelaiti barani Afrika vilikuwa viunganishi muhimu vya safari hizi za  anga za juu  za  wamarekani .   Mnamo Julai 20, 1969,  Apollo  11 iliweka historia ya ulimwengu ilipotua kwenye mwezi. Lakini hadi leo, watu wachache wanajua kuhusu vituo vya anga vya Kano, kaskazini mwa Nigeria, na Tunguu, Zanzibar, ambavyo vilisaidia kuweka msingi ambao hatimaye ulifanikisha misheni ya  Apollo  11.   Vita Baridi kati ya Muungano wa Kisovieti na Marekani vilijitokeza kwa kasi katika mbio kubwa ya anga za juu. Kabla ya kutua kwa mwezi kwa mafanikio kutokea, M arekani  ilihitaji kujaribu vyombo vya anga vya juu na visivyo na rubani. Mnamo Oktoba 1958, Utawala wa Kitaifa wa Anga na Anga (NASA) ulizindua Mradi wa  Mercury , mradi wa miaka mitano, wa dola mili...

KWA NINI MAWAZIRI WANAMAAFISA WAO WA HABARI? VITENGO VYA HABARI KILA TAA...

Image

MAKAMU WA RAIS UFUNGUZI WA MWAKA WA MAHAKAMA YA AFRIKA - ARUSHA

Image
Mpango akizungumza na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Jaji Imani Aboud wakati alipowasili Makao Makuu ya Mahakama hiyo mkoani Arusha kuhudhuria ufunguzi wa Mwaka wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu   tarehe 20 Februari 2023. (Kulia ni Makamu wa Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Jaji Blaise Tchikaya) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akihutubia Majaji, Viongozi na Watumishi mbalimbali wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na watu wakati wa Ufunguzi wa Mwaka wa Mahakama hiyo uliofanyika Makao Makuu ya Mahakama hiyo mkoani Arusha  tarehe 20 Februari 2023 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akipokea Vitabu vya Hukumu mbalimbali zilizotolewa na Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu tangu kuanzishwa kwakwe kutoka kwa Rais wa Mahakama hiyo Jaji Imani Aboud mara baada ya  Ufunguzi wa Mwaka wa Mahakama ya Afrika ya Ha...