Popular posts from this blog
LIGI KUU YA MUUNGANO YA NETIBOLI KATI YA POLISI MORO NA TTPL UWANJA WA GYMKHANA. TIMU YA POLISI MORO IMESHINDA 36-33
Wachezaji wa Timu ya TTPL na Polisi Moro wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Muungano zinazofanyika katika viwanja vya Gymkhana Zanzibar timu ya Polisi Moro imeshinda 36--33. Mchezaji wa timu ya TTPL Mwanaasha Ali ( GS) akiwa na mpira huku mchezaji wa timu ya Polisi Moro Jawa Iddi (GD) akijiandaa kumzuiya katika mchezo wao wa kuwania Ubingwa wa Ligi Kuu ya Muungano ya Mchezo wa Netiboli yanayofanyika katika viwanja vya Gmykhana Zanzibar Timu ya Polisi Moro imeshinda 36--33. Kocha wa Timu ya TTPL akitowa maelezkezo kwa wachezaji wake wakati wa mapumziko ya kota ya tatu timu hizo zikiwa sare ya 25-25 Kocha wa Timu ya Polisi Moro akitowa maelezkezo kwa wachezaji wake wakati wa mapumziko ya kota ya tatu timu hizo zikiwa sare ya 25-25 Mchezaji wa Timu ya Polisi Moro Maryam Shabani (GS) na wa Timu ya TTPL Hawa Pembe wakiwania mpira. Semeni Aswile(WD) akidaka mpira katika mchezo wao wa Ligi Kuu ya Muungano mchezo uliofanyika uwanj...
ZIARA YA MAKAMU WA RAIS KATIKA KIWANDA CHA KNAUF MKURANGA- PWANI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Sululu Hassan akipata taarifa ya maendeleo ya uwekezaji wa kampuni ya KNAUF nchini kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu Tanzania, Bw. Zachopolous Georgions. Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa KNAUF Gypsum Afrika Mashariki, Zachopoulos Georgios wakati alipotembelea kukagua maendeleo ya kiwanda hicho. Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu akipokelewa na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi ambaye pia ni mbunge wa Mkuranga, Abdalla Ulega wakati alipowasili katika eneo la kiwanda Mkuranga Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu akiongea na uongozi ,wafanyakazi na wageni mbalimbali katika ziara hiyo Mkurugenzi Mtendaji wa KNAUF Gypsum Afrika Mashariki, Zachopoulos Georgios akielezea macheche kwa Makamu wa Rais juu ya kiwanda hicho. Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa KNAUF Gypsum Afrika Mashariki, Zachopoulos Georgios mara baada ya kumaliza kutoa ...






























Comments
Post a Comment