MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AANZA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MBILI MKOANI MOROGORO KUANZIA TAREHE 07-08 JULAI, 2021

        

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wananchi wa Kongwa Mkoani Dodoma alipokuwa njiani akielekea Mkoani Morogoro kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku Mbili.
Sehemu ya Wananchi wa Kongwa wakimsikiliza Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan aliposimama wakati akielekea Mkoani Morogoro kwa ziara ya kikazi ya siku mbili Mkoani humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wananchi  waliojitokeza kumpokea alipowasili katika eneo la Msamvu Mkoani Morogoro kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku mbili Mkoani humo.
wananchi wakimsikiliza Mhe. Rais Samia aliposimama eneo la Msamvu Mkoani Morogoro. PICHA NA IKULU

Comments

Popular posts from this blog

LIGI KUU YA MUUNGANO YA NETIBOLI KATI YA POLISI MORO NA TTPL UWANJA WA GYMKHANA. TIMU YA POLISI MORO IMESHINDA 36-33

HAYA NDIYO BAADHI YA YALIYOSABABISHA UCHAGUZI ZANZIBAR UFUTWE