Posts

ALMASI YENYE THAMANI YA BILIONI 3.2 YAIPAISHA SEKTA YA MADINI TANZANIA

Image
Tanzania imetajwa kuweka historia katika tasnia ya madini baada ya Almasi yenye Karati 512.15 kupatikana hivi karibuni katika eneo la Maganzo Mkoani Shinyanga  na kuuzwa kwa jumla ya shilingi Bilioni 3.2. Naibu Waziri wa Madini Mhe. Stanslaus Nyongo wa katikati  amesema kuwa  kutokana na kupatikana kwa almasi hiyo Serikali itapata mapato ya takribani shilingi  milioni 235,000/- kama kodi na tozo mbalimbali ikiwemo mrabaha ambayo yamelipwa Serikalini baada ya mauzo hayo Kuuzwa kwa jiwe hilo moja la almasi katika soko la madini mkoani Shinyanga ni muendelezo wa tija inayopatikana kupitia masoko hayo toka kuanzishwa kwake nchini,jumla ya shilingi bilioni 34.3 zimepatikana kwenye biashara ya dhahabu iliyofanyika katika kipindi cha mwezi mmoja tu kati ya Machi 17 mpaka Aprili 17 mwaka huu katika masoko ya madini kote nchini, kwa mujibu waziri wa Madini,Doto Biteko, aliyetoa taarifa hiyo hivi karibuni.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akipokewa na Mwenyeji wake Rais Hage Geingob wa Namibia alipowasili katika Ikulu ya nchi hiyo, Jijini Windhoek leo Mei 27, 2019. Rais Dkt. Magufuli amewasili nchini Namibia kwa Ziara Rasmi ya Kikazi ya Siku mbili.

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akipokewa na Mwenyeji wake Rais Hage Geingob wa Namibia alipowasili katika Ikulu ya nchi hiyo, Jijini Windhoek leo Mei 27, 2019. Rais Dkt. Magufuli amewasili nchini Namibia kwa Ziara Rasmi ya Kikazi ya Siku mbili. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akipokewa na Mwenyeji wake Rais Hage Geingob wa Namibia alipowasili katika Ikulu ya nchi hiyo, Jijini Windhoek leo Mei 27, 2019. Rais Dkt. Magufuli amewasili nchini Namibia kwa Ziara Rasmi ya Kikazi ya Siku mbili. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akipokewa na Mwenyeji wake Rais Hage Geingob wa Namibia alipowasili katika Ikulu ya nchi hiyo, Jijini Windhoek leo Mei 27, 2019. Rais Dkt. Magufuli amewasili nchini Namibia kwa Ziara Rasmi ya Kikazi ya Siku mbili.

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA KUAPISHWA KWA RAIS WA COMORO

Image
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Spika wa Bunge la Comoro Mhe. Ousseini Abdou kwenye uwanja Mpya wa Comoro wakati wa sherehe ya kuapishwa Rais Azali Assouman leo May 26,2019. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mke wa Rais wa Comoro Bibi Ambari Azali kwenye uwanja Mpya wa Ominisport Malouzini Stadium Comoro wakati wa sherehe ya kuapishwa Rais Azali Assouman leo May 26,2019. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Comoro Mhe. Souef Mohammed Al Amine kwenye Uwanja wa Mpya wa wa Ominisport Malouzini Stadium Comoro wakati wa sherehe ya kuapishwa Rais Azali Assouman leo May 6,2019. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais Azali Assouman wa Comoro baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Visiwa vya Comoro leo May 26,20219. M...

RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA AFRIKA KUSINI MHE. CYRIL RAMAPHOSA KATIKA IKULU YA PRETORIA NCHINI AFRIKA KUSINI IKIWA NI SIKU MOJA MARA BAADA YA KUAPISHWA NA KABLA YA KUTEUA BARAZA LAKE LA MAWAZIRI MEI 26, 2019

Image
Share Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Afrika Kusini Mheshimiwa Cyril Ramaphosa mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Pretoria nchini Afrika Kusini  Mei 26, 2019 ikiwa ni siku moja baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Nchi hiyo na kabla hajateua Baraza lake la Mawaziri.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Afrika Kusini Mheshimiwa Cyril Ramaphosa mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Pretoria nchini Afrika Kusini Mei 26, 2019 ikiwa ni siku moja baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Nchi hiyo na kabla hajateua Baraza lake la Mawaziri.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpa zawadi ya picha ya wanyama Rais wa Afrika Kusini Mheshimiwa Cyril Ramaphosa baada ya kuwasili katika Ikulu ya Pretoria nchini Afrika Kusini  Mei 26, 2019 ikiwa ni siku moja baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Nchi hiyo n...

Sherehe za Kuapishwa kwa Rais wa Afrika ya Kusini Mhe. Matamela Cyril Ramaphosa, Mei 25,2019.

Image