Posts

MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI MKUTANO MKUU WA JUMUIYA YA KIKRISTO MKOANI MOROGORO LEO TAREHE 08 JULAI, 2021.

Image
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa dini alipowasili katika Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Kikristo (CCT) Kilakala, Mkoani Morogoro Baadhi ya viongozi wa dini na Wakristo waliohudhuria katika Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Kikristo (CCT), Kilakala Mkoani Morogoro. PICHA NA IKULU

MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AANZA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MBILI MKOANI MOROGORO KUANZIA TAREHE 07-08 JULAI, 2021

Image
         Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wananchi wa Kongwa Mkoani Dodoma alipokuwa njiani akielekea Mkoani Morogoro kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku Mbili. Sehemu ya Wananchi wa Kongwa wakimsikiliza Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan aliposimama wakati akielekea Mkoani Morogoro kwa ziara ya kikazi ya siku mbili Mkoani humo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wananchi  waliojitokeza kumpokea alipowasili katika eneo la Msamvu Mkoani Morogoro kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku mbili Mkoani humo. wananchi wakimsikiliza Mhe. Rais Samia aliposimama eneo la Msamvu Mkoani Morogoro. PICHA NA IKULU

MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA AFISA MTENDAJI MKUU MAKAMPUNI YA BARRICK GOLD BW. MARK BRISTOW

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu Makampuni ya Barrick Gold Bw. Mark Bristow Ikulu Jijini Dodoma Julai 07,2021.

MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIZINDUA MTAMBO WA CATHLAB KATIKA TAASIS...

Image

WATANZANIA 11 MASHAKANI NCHINI MSUMBIJI,SIKU 365 HAWAJULIKANI WALIPO.

Image

NINI MKAKATI WA SERIKALI KUWALIPA MAPEMA WANANCHI BAADA YA MAENEO YAO KU...

Image

TAARIFA ZINAZOINGIA KATIKA MIOYO YETU NDIO ADUI MKUU

Image