KILIO CHA MBUNGE RIDHIWANI CHASIKIKA, RC NDIKILO ATOA MWEZI MMOJA KWA WAFUGAJI wanakijiji cha Kitoga wakisikiliza katika mkutano wa kutatua migogoro ya wakulima na wafugaji katika kijiji cha Kitoga kata ya Vigwaza Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Majid Mwanga akizungumza katika mkutano wa kutatua migogoro ya wakulima na wafugaji katika kijiji cha Kitoga kata ya Vigwaza Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Majid Mwanga akizungumza kwa wananchi katika mkutano wa kutatua migogoro ya wakulima na wafugaji katika kijiji cha Kitoga kata ya Vigwaza Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo akitoa maelekezo kwa wanakijiji baada ya kufika katika kijiji cha Kitonga kutatua migogoro ya wakulima na wafugaji. Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Majid Mwanga akitoa maelezo kwa mkuu wa mkoa katika mkutano wa kutatua migogoro ya wakulima na wafugaji katika kijiji cha Kitoga kata ya Vigwaza Mbunge wa Chalin...
Posts
Showing posts from December, 2016
- Get link
- X
- Other Apps

RAIS MAGUFULI ASHIRIKI MSIBA WA MZEE MAARUFU WA CHATO ADMIRABILIS MBABE MANYAMA (82) CHATO MKOANI GEITA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 29 Desemba, 2016 ameungana na wananchi wenzake Wilayani Chato mkoani Geita kutoa pole kutokana na kifo cha Mzee Admirabilis Mbabe Manyama ambaye ni mzee maarufu wilayani hapa na Mzee James Lufunga Mchele ambaye ni jirani yake. Rais Magufuli pamoja na kuwapa pole wafiwa na wananchi wa Chato kwa kuondokewa na mpendwa wao pia amitaka familia ya mzee Manyama kuendelea kuishi kwa kushikamana na kupendana kama ilivyokuwa enzi za uhai wa marehemu na kuwataka kuepukana na mifarakano. ''Unapotokea msiba kama huu katika familia nyingi huzuka mifarakano, ombi langu kwenu wewe Mama mkubwa na Mama mdogo kamwe msikubali kufarakanishwa kutokana na kifo cha mume wenu,muwaongoze watoto wenu ili muendelee kuishi kwa kupendana kama enzi za uhai wa mzee'' Aidha Rais Magufuli amemuelezea Ma...
- Get link
- X
- Other Apps

ZIARA YA NAIBU WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR, MHE:MIHAYO KISIWANI PEMBA KUTEMBELEA MIRADI YA TASAF. Mkurugenzi wa Uratibu Shuhuli za Serikali kutoka Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Ndg.Khalid Bakari Amran, akimuonyesha tuta linalojengwa na kaya masikini shehia ya ndagoni lenye urefu wa mita 200, Naibu waziri Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe:Mihayo Juma N’hunga, wa pili kutoka kulia wakati alipotembelea kukagua kazi zinavyoendelea katika tuta hilo Hili tuta linalojengwa kwa ajili ya kuzuwia maji Chumvi lenye urefu wa mita 200, linalojengwa kwa nguvu kazi za wanakaya katika bonde la Kidau shehia ya Ndagoni, baada ya kumalizika ujenzi wake litaweza kuwarudisha wakulima zaidi ya 300, kuendelea kulima katika mashamba yao baada ya kuyahama kwa zaidi ya miaka miwili sasa Mratibu wa Tasaf Pemba Ndg.Mussa Said, akitoa maelezo ya ujenzi wa Tuta la kuzuwia maji ya Chumvi lenye urefu wa mita 200, kwa Naibu Waziri ...
- Get link
- X
- Other Apps

UVCCM Wamtembelea na Kumfariji Msanii Ben wa Bongo Movie. Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mhe Sadifa Juma leo ameongoza ujumbe wa viongozi wa UVCCM kumfariji na kumpa pole msanii wa maigizo ndg Abdul Ahmad jina la Usanii Ben Serengo nyumban kwao Kigogo Jijini Dar Es Salam, aliyepata ajali ya gari tareh 25 siku ya skukuu ya Christmas. UVCCM inathamini sana mchango wa wasanii wa ndani na inaguswa na changamoto na matatizo mbali mbali yanayopata wasanii hivyo Jumuiya itaendelea kuwa nao karibu kwa kuzingatia umuhimu wao katika jamii na Chama Cha Mapinduzi. Alisema Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mhe:Sadifa Juma Khamisi(MCC/MB) alipokwenda Kumjulia Hali Msanii wa Bongo Movie Abdul Ahmad jina maarufu Ben Serengo wa pili kulia na wa tatu kulia ni Kaimu katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka. Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Sadifa Juma Khamisi(MCC/MB) wa nne kulia akitizama picha mbali mbali za tukio la ajali ...