BALOZI WA KUWAIT NCHINI MHE. JASEM AL-NAJEM NCHINI ATEMBELEA MAKAO YA TAIFA YA WATOTO YATIMA KURASINI JIJINI DAR ES SALAAAM. Balozi wa Kuwait nchini, Jasem Al-Najem akizungumza na watumishi,watoto yatima katika Makao ya Taifa ya Watoto yatima Kurasini katika ziara ya kutembelea miradi mbalimbali jijini Dar es Salaaam. Balozi wa Kuwait nchini, Jasem Al-Najem akitembezwa viunga vya Makao ya Taifa ya Watoto yatima Kurasini jijini Dar es Salaam. Balozi wa Kuwait nchini, Jasem Al-Najem akipanda mti katika Makao ya Taifa ya Watoto Yatima Kurasini jijini Dar es Salaam. Balozi wa Kuwait nchini, Jasem Al-Najem akikabidhi bengu za mbogamboga, Afisa Mfawidhi wa Makao ya Taifa ya Watoto Yatima Kurasini,Beatrice Lawrance(kulia) leo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Kamishina Msaidizi wa Ustawi-wa Jamii,Siman Panga Kamishina Msaidizi wa Ustawi-wa Jamii, Simon Panga akizungumza katika hafla ya...