CCM KIBAHA MJINI YAKAMIA KUUZIKA UPINZANI UCHAGUZI 2019/2020
Mwenyekiti wa Jumuiya wa Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kibaha Mjini,Edwin Shunda (mwenye kofia) akishirikiana na wajumbe wa jumuiya hiyo kufyeka katika mazingira ya jengo la chama hicho wakati wa maadhimisho ya kutimiza miaka 41 ya chama hicho wilayani Kibaha leo,yaliyofanya na jumuiya ya wazazi Mjini hapo Mwenyekiti wa Jumuiya wa Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kibaha Mjini,Edwin Shunda (mwenye kofia) akishirikiana na wajumbe wa jumuiya hiyo kuzoa takataka na kuweka katika vifaa vya kubebea uchafu katika mazingira ya jengo la chama hicho wakati wa maadhimisho ya kutimiza miaka 41 ya chama hicho wilayani Kibaha leo,yaliyofanywa na jumuiya hiyo.(picha na Mwamvua Mwinyi) Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kibaha,Maulid Bundala (katikati) akikabidhi kadi ya CCM kwa Aliyekuwa Mgombea wa udiwani kupitia Chama cha Wananchi (CUF) 2015,kata ya Kongowe ,Mathas Kambi (anaepokea kadi) baada ya jumuiya ya wazazi CCM Wilaya ya Kibaha ku...