Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa na mwenyeji wake, Waziri wa Kilimo na Uhaulishaji wa Ardhi Dkt. Azzeldin Abosteit (kushoto), wakati alipotembelea Piramidi mjini Cairo Misri, Julai 9.2019. Kulia ni Mkurugenzi wa Piramidi Ashraf Mohy. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akishika jiwe lililotumika kujengea Piramidi, wakati alipotembelea Piramidi hizo, mjini Cairo Misri, Julai 9.2019. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa amepanda juu ya Piramidi, akionesha jambo wakati alipotembelea Piramidi hizo, mjini Cairo Misri, Julai 9, 2019. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa ndani ya Piramidi, wakati alipotembelea Piramidi hizo, mjini Cairo Misri, Julai 9, 2019. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa anashuka kwenye Piramidi, wakati alipotembelea Piramidi hizo, mjini Cairo Misri, Julai 9, 2019. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipeana mkono na Mkurugenzi wa Piramidi Ashraf Mohy, wakati alipotembelea Pira...