Posts

Showing posts from July, 2021

MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIPOKEA NDEGE MPYA AINA YA DASH 8 - Q400 ...

Image

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Apokea Miradi Iliyofadhiliwa na Kujengwa na Serikali ya Ujerumani Kupitia Jeshi la Nchi hiyo (GAFTAG), katika Hospitali ya Lugalo Jijini Dar es Salaam Tarehe 28 Julai, 2021

Image
  Share Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata Utepe kwa ajili ya kupokea Miradi iliyofadhiliwa na kujengwa na Serikali ya Ujerumani kupitia Jeshi la nchi hiyo (GAFTAG) kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ). Kulia ni Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Bi. Regine Hess, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. George Simbachawene, kulia Mkuu wa Majeshi Venance Mabeyo, Waziri wa Afya Mhe. Doroth Gwajima, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje Mhe. Mbarouk Nassor Mbarouk. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Mhe. Samia Suluhu Hassan akiondoa kitambaa kwa ajili ya kupokea Miradi iliyofadhiliwa na kujengwa na Serikali ya Ujerumani kupitia Jeshi la Nchi hiyo (GAFTAG) kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ). Kushoto ni Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Bi. Regine Hess. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Mhe. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo  kuhusu uchunguzi wa Magonjwa Ambu...

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Azindua Chanjo ya Uviko 19 katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam, Tarehe 28 Julai, 2021

Image
  Faceboo Twitter Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Chanjo ya Uviko 19 katika Viwanja vya Ikulu, Jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akionesha Cheti cha Uthibitisho wa Chanjo muda mfupi baada ya kuzindua Chanjo ya Uviko 19. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akipata Chanjo ya Uviko 19 ikiwa ni miongoni mwa Viongozi waliohudhuria uzinduzi huo.

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Awaapisha Mabalozi Wateule 13 Ikulu Jijini Dar es Salaam Tarehe 27 Julai, 2021

Image
FacebookShare Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Meja Gen. Richard Mutayoba Makanzo kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Rwanda Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bw. Masoud A Balozi,  kuwa Balozi na Mkurugenzi wa Idara ya Mambo ya Nje, Zanzibar Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bi. Swahiba Habibu Mndeme, kuwa Balozi na Mkurugenzi wa Ulaya na Amerika Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Bi. Maulidah Bwanakheir Hassan, kuwa Balozi Ofisi ya Rais Ikulu Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Mabalozi 13 aliowaapisha Ikulu Jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wateule mara baada ya kuwaapisha Mabalozi hao.                                       ...

ZIARA YA RAIS DK.HUSSEIN ALI MWINYI MKOA WA MJINI MAGHARIBI.

Image
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) wakati alipokuwa akizungumza Wananchi wa Shehia ya Tomondo Wilaya ya Magharibi 'B"wakati alipotembelea miradi mbali mbali ya Maendeleo akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mjini Magharibi. Baadhi ya Wananchi Shehia ya Tomondo Wilaya ya Magharibi 'B" wakinyanyua mikono kumuunga mkono Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipokuwa akizungumza nao leo wakati alipotembelea miradi mbali mbali ya Maendeleo akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mjini Magharibi Baadhi ya Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama wakiwa katika ukumbi wa Chuo cha Utalii Maruhubi wakati wa uwasilishwaji wa taarifa ya utekelezaji wa kazi kwa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja kabla ya ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) ya kutembelea miradi ya Maendeleo katika Mkoa huo Mwananchi wa Shehia ya Welezo Bw. Ameir ...

ZIARA YA RAIS DK.HUSSEIN ALI MWINYI MKOA WA KASKAZINI.

Image
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kushoto) wakati alipokuwa akizungumza na baada ya Wafanyabishara na Wananchi wa Kijiji cha Kinyasini Wilaya ya Kaskazini"A" akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kaskazini Unguja alipotembelea miradi mbali mbali ya Maendeleo. Wananchi na Wafanyabishara wa Kinyasini Wilaya Kaskazini"A" wakimskiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi wakati alipokuwa akizungumza nao leo mara baada ya kuelezwa Changamoto zao akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kaskazini Unguja alipotembelea miradi mbali mbali ya Maendeleo. Wananchi wa Kinyasini pamoja na Wafanyabiashara wakisimamisha msafara wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi kuelezea Changamoto zao mbali mbali zinazowakabili ili waweza kupata ufafanuzi wake kwa Rais alipofanya Ziara katika Mkoa wa Kaskazini Unguja Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi...

ZIARA YA RAIS WA ZANZIBAR DK.HUSSEIN MWINYI WILAYA KATI UNGUJA

Image
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kulia) alipokuwa akizungumza na Wananchi wa Mgeni Haji Jimbo la Uzini baada ya kutembelea Barabara ya Mgeni Haji – Kwambani Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja akiendelea na ziara ya kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo katika Mkoa huo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akisalimiana na Viongozi alipowasili katika viwanja vya Kiboje Manzese kuzungumza na Wananchi wa Jimbo la Uzini mara baada ya kutembelea Barabara ya Kiboje,Miwani-Kizimbani akiendelea na ziara yake katika Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo katika Mkoa huo. Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Mhe. Sudi Nahoda akitoa ufafanuzi kuhusu masuala ya kilimo kwa Wananchi na Wakulima wa Kiboje,Miwani-Kizimbani wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipotembelea Barabara...

ZIARA YA RAIS WA ZANZIBAR WILAYA KUSINI UNGUJA

Image
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Kusini Mhe.Rashid Makame Shamsi alipotembelea Skuli ya Sekondari ya Mtule akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali Wilaya ya Kusini Unguja. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akisisitiza jambo wakati alipotembelea Mashine ya Maji Mtule katika mradi wa Maji Kijiji cha Kitogani Muungoni akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo Wilaya ya Kusini Unguja. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi(kulia) alipotembelea maonesho ya vikundi mbali mbali wajasiria mali vya Wilaya ya Kusini yaliyofanyikla leo katika Kijiji cha Paje akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali Wilaya ya Kusini Unguja. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akiuliza suala kwa Bi Mwanaisha Makame wa kikundi cha ...