Posts
Showing posts from April, 2022
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MEYA WA JIJI LA NEW YORK NCHINI MAREKANI NA KUZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI NA WADAU WAKUU WA SEKTA YA HABARI WA MAREKANI TAREHE 16 APRILI, 2022
- Get link
- X
- Other Apps
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mabalozi wa Nchi Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Mabalozi wa Nchi Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), baada ya Futari aliyoiyandaa kwa ajili ya Mabalozi hao Jijini Washington Marekani. . Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wa Nchi Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Mabalozi wa Nchi Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), baada ya Futari aliyoiyandaa kwa ajili ya Mabalozi hao Jijini Washington Marekani. . . PICHA NA IKULU
MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE. KAMALA HARRIS, IKULU YA MAREKANI JIJINI WASHINGTON TAREHE 15 APRILI, 2022
- Get link
- X
- Other Apps
Facebook Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris mara baada ya kuwasili Ofisini kwake katika Ikulu ya Marekani White House Washington tarehe 15 Aprili, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris wakati wakizungumza na Wanahabari katika Ikulu ya Marekani White House Washington tarehe 15 Aprili, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mwenyeji wake Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris wakati akiangalia mandhari ya Majengo ya Ofisi za Ikulu ya Marekani mara baada ya kuzungumza na Wanahabari katika Ikulu hiyo ya White House Washington tarehe 15 Aprili, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiongoza Ujumbe wa Tanzania katika Mazungumzo Rasmi na Ujumbe wa Serikali ...
RAIS SAMIA ALICHOKIONGEA NA MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI
- Get link
- X
- Other Apps
MASWALI NA MAJIBU YA RAIS SAMIA KATIKA UZINDUZI WA ‘THE ROYAL TOUR’ JIJ...
- Get link
- X
- Other Apps