Posts

NYARAKA ZA KALE ZA UZAZI,NDOA,VIFO,TALAKA NA UTAMBULISHO KUHIFADHIWA KIDIGITALI ZANZIBAR

Image
Zaharan Nassor Mhifadhi Mkuu wa Nyaraka wa wakala wa usajili wa matukio ya kijamii Zanzibar akionyesha Nyaraka Kongwe zaidi yenye majina ya Uzazi kuanzia mwaka 1909 hadi 1911 Jengo la mwanzo la Uhifadhi wa Nyaraka za Usajili wa Uzazi,Ndoa,vifo,Talaka na Utambulisho Mambo Msiige Mtaa wa Shangani ambapo leo ni Hotel ya Hyatt Bi Mwanajuma Mwinyi Mohamedy Msajili wa vizazi na vifo Wilaya ya Kati Mkoa wa kusini Unguja akichambua Taarifa  za mwananchi ili kujaza vyeti mbali mbali vya Wazanzibar Serikali ya SMZ inachakata Taarifa hizi zote na kuzitunza kidigitali,Tayari vituo 11 vya kisasa vimejengwa Katika kila wilaya ili kusaidia usajili na kuboresha taarifa za wananchi Zanzibar Dr Hussein Khamis Shaaban, Mkurugenzi mtendandaji wa wakala wa usajili wa matukio ya kijamii akikagua Nyaraka za Kale  za vizazi  na vifo ambazo zinachakatwa kuwekwa katika mfumo wa Kidigitali Sehemu ya Mabuku ya kale yenye kumbu kumbu za Vizazi,Vifo,Ta...

JPM AKIANGALIA NDEGE MPYA IKITUA AIRPORT - DSM

Image
Image
VICHWA VYENYE MVI NI TAJI LA UZURI VINAPOPATIKANA KATIKA NJIA YA UADILIFU
Image
RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kuwaapisha Viongozi mbalimbali Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Makame Mnyaa Mbarawa kuwa Waziri wa Maji na Umwagiliaji Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Kailima Ramadhani kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Eng. Isack Kamwelwe kuwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Ikulu jijini Dar es Salaam Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji Thomas Mihayo kuwa Kamishna wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Mag...
Image
SISI TUNAWEZA KULIJENGA TAIFA TUNAVYOTAKA