Posts

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO NA KUMPA POLE MJANE WA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA TATU MAREHEMU BENJAMIN MKAPA MAMA ANNA MKAPA NYUMBANI KWAKE MASAKI JIJINI DAR ES SALAAM

Image
RAIS MHE. DKT. MAGUFULI ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO NA KUMPA POLE MJANE WA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA TATU MAREHEMU BENJAMIN MKAPA MAMA ANNA MKAPA NYUMBANI KWAKE MASAKI JIJINI DAR ES SALAAM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa pamoja na wanafamilia wa Marehemu Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa wakimuombea sala Marehemu Mzee Mkapa nyumbani kwake Masaki jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimfariji Mjane wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Mzee Benjamin William Mkapa Mama Anna Mkapa nyumbani kwa Marehemu Masaki jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwafariji na kuwapa pole familia ya Marehemu Mzee Benjamin William Mkapa nyumbani kwa Marehemu Masaki jijini Dar es Salaam. ...

Shetta, Billnass, Pablo, Malkia Karen, Baghadad, Jay Moe, G Nako - Kibok...

Image

RAIS DKT MAGUFULI AWASHUKURU EFM NA TVE KWA KUANDAA TAMASHA LA MUZIKI...

Image

LIVE: RAIS DKT. JOHN P. MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI WATEULE IKULU CHAMWI...

Image

KUJENGA BWAWA NA KUFUA UMEME WA KUTOSHA HII HAPA THAMANI YAKE

Image

TANZANIA VIMEBORESHWA VITUO VYA AFYA KIBAO

Image

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MARAIS WASTAAFU WAWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA OFISI ZA IKULU YA CHAMWINO MKOANI DODOMA

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi kabla ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Ofisi ya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma . Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Samia Suluhu, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Marais Wastaafu, Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na Mjane wa Baba wa Taifa Mama Maria Nyerere pamoja na viongozi wengine wakati wa wimbo wa Taifa. Viongozi mbalimbali wakiwa wamesimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa katika hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi Ujenzi wa Ofisi za Ikulu ya Chamwino Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Marais Wastaafu, Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu wa Awamu ya...