Posts

TOURISTS IN TANZANIA'S WILDLIFE PARKS

Image

MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MEYA WA JIJI LA NEW YORK NCHINI MAREKANI NA KUZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI NA WADAU WAKUU WA SEKTA YA HABARI WA MAREKANI TAREHE 16 APRILI, 2022

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mabalozi wa Nchi Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Mabalozi wa Nchi Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), baada ya Futari aliyoiyandaa kwa ajili ya Mabalozi hao Jijini Washington Marekani.   . Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wa Nchi Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Mabalozi wa Nchi Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), baada ya Futari aliyoiyandaa kwa ajili ya Mabalozi hao Jijini Washington Marekani. . .                                                                           PICHA NA IKULU

MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUZUNGUMZA MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI MHE. KAMALA HARRIS, IKULU YA MAREKANI JIJINI WASHINGTON TAREHE 15 APRILI, 2022

Image
  Facebook Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris mara baada ya kuwasili Ofisini kwake katika Ikulu ya Marekani   White House Washington  tarehe 15 Aprili, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris wakati wakizungumza na Wanahabari katika Ikulu ya Marekani  White House  Washington tarehe 15 Aprili, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mwenyeji wake Makamu wa Rais wa Marekani Mhe. Kamala Harris wakati akiangalia mandhari ya Majengo ya Ofisi za Ikulu ya Marekani mara baada ya kuzungumza na Wanahabari katika Ikulu hiyo ya White House Washington tarehe 15 Aprili, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiongoza Ujumbe wa Tanzania katika Mazungumzo Rasmi na Ujumbe wa Serikali ...

RAIS SAMIA ALICHOKIONGEA NA MAKAMU WA RAIS WA MAREKANI

Image

MASWALI NA MAJIBU YA RAIS SAMIA KATIKA UZINDUZI WA ‘THE ROYAL TOUR’ JIJ...

Image

MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIPOKEA NDEGE MPYA AINA YA DASH 8 - Q400 ...

Image

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Apokea Miradi Iliyofadhiliwa na Kujengwa na Serikali ya Ujerumani Kupitia Jeshi la Nchi hiyo (GAFTAG), katika Hospitali ya Lugalo Jijini Dar es Salaam Tarehe 28 Julai, 2021

Image
  Share Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata Utepe kwa ajili ya kupokea Miradi iliyofadhiliwa na kujengwa na Serikali ya Ujerumani kupitia Jeshi la nchi hiyo (GAFTAG) kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ). Kulia ni Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Bi. Regine Hess, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. George Simbachawene, kulia Mkuu wa Majeshi Venance Mabeyo, Waziri wa Afya Mhe. Doroth Gwajima, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje Mhe. Mbarouk Nassor Mbarouk. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Mhe. Samia Suluhu Hassan akiondoa kitambaa kwa ajili ya kupokea Miradi iliyofadhiliwa na kujengwa na Serikali ya Ujerumani kupitia Jeshi la Nchi hiyo (GAFTAG) kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ). Kushoto ni Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Bi. Regine Hess. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Mhe. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo  kuhusu uchunguzi wa Magonjwa Ambu...