Wakiwasili Ofisi kuu ya chama cha mapinduzi visiwani Unguja Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar akiwaeleza wajumbe hao ni kwanini alifikia maamuzi ya kufuta matokeo ya uchaguzi Nov 25 Fahimu Dovutwa akiwa makini kuandika yale aliyoyasikia kutoka kwa Mzee Jecha John Paul Shibuda ambae ni mwenyekiti wa ummoja huo akitokea ADA-TADEA Mzee John Cheyo akisikilza kwa umakini Mwenyekiti wa ZEC akitoa ufafanuzi wa kilichotokea kwa ujumbe huo mbele ya wanahabari Katika ofisi za CCM ujumbe ulikutana na viongozi waandamizi wa CCM Zanzibar Ujumbe ukiwasili ofisi za CUF Kaimu katibu mkuu wa CUF afafanua kazia ya mtafaruku wa uchaguzi wa Zanzibar