UJUMBE WA MUUNGANO WA VYAMA VINNE WAWASILI ZANZIBAR KUPATA UKWELI WA HALI YA UCHAGUZI WA MARUDIO


Wakiwasili Ofisi kuu ya chama cha mapinduzi visiwani Unguja

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar akiwaeleza wajumbe hao ni kwanini alifikia maamuzi ya kufuta matokeo ya uchaguzi Nov 25

Fahimu Dovutwa akiwa makini kuandika yale aliyoyasikia kutoka kwa Mzee Jecha

John Paul Shibuda ambae ni mwenyekiti wa ummoja huo akitokea ADA-TADEA



Mzee John Cheyo akisikilza kwa umakini













Mwenyekiti wa ZEC akitoa ufafanuzi wa kilichotokea kwa ujumbe huo mbele ya wanahabari

Katika ofisi za CCM ujumbe ulikutana na viongozi waandamizi wa CCM Zanzibar



Ujumbe ukiwasili ofisi za CUF


Kaimu katibu mkuu wa CUF afafanua kazia ya mtafaruku wa uchaguzi wa Zanzibar



Comments

Popular posts from this blog

HAYA NDIYO BAADHI YA YALIYOSABABISHA UCHAGUZI ZANZIBAR UFUTWE

LIGI KUU YA MUUNGANO YA NETIBOLI KATI YA POLISI MORO NA TTPL UWANJA WA GYMKHANA. TIMU YA POLISI MORO IMESHINDA 36-33