MAKAMU WA RAIS UFUNGUZI WA MWAKA WA MAHAKAMA YA AFRIKA - ARUSHA

Mpango akizungumza na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Jaji Imani Aboud wakati alipowasili Makao Makuu ya Mahakama hiyo mkoani Arusha kuhudhuria ufunguzi wa Mwaka wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu tarehe 20 Februari 2023. (Kulia ni Makamu wa Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Jaji Blaise Tchikaya) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akihutubia Majaji, Viongozi na Watumishi mbalimbali wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na watu wakati wa Ufunguzi wa Mwaka wa Mahakama hiyo uliofanyika Makao Makuu ya Mahakama hiyo mkoani Arusha tarehe 20 Februari 2023 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akipokea Vitabu vya Hukumu mbalimbali zilizotolewa na Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu tangu kuanzishwa kwakwe kutoka kwa Rais wa Mahakama hiyo Jaji Imani Aboud mara baada ya Ufunguzi wa Mwaka wa Mahakama ya Afrika ya Ha...