Posts

KASI YA SERIKALI YA JPM KWENYE KOROSHO; SASA VIWANDA VYAAMKA.

Image
Korosho ikiwa tayari kwa kusafirisha Tanzania ni mmoja wa wazalishaji wakuu zaidi wa korosho katika Afrika, mauzo ya karosho ya Tanzania huchangia asilimia kumi na tano ya fedha za kigeni. Tanzania ni mkulima wa 8 mkubwa zaidi duniani na wa 4 katika Afrika. Takwimu iliyotolewa mwaka 2012 na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) Tanznaia imekuwa imefanya vizuri katika uzalishaji wa zao la korosho tangu kabla ya uhuru, hata hivyo, udhibiti mbaya na ukosefu wa malipo ya kuaminika kwa wakulima wamesababisha uzalishaji wa korosho kutokuongezeka. Kwa kawaida mmea hupandwa katika mikoa ya kusini ya pwani, Mtwara, Kilwa na Dar-es-Salaam. Uuzaji wa korosho huendeshwa na Bodi ya Korosho ya Tanzania, kwa njia ya ushirika mbalimbali wa wakulima. Zaidi ya asilimia tisini ya mauzo ya nje ni nchini India, Ukosefu wa makampuni ya ubanguaji wa wa korosho ha Tanzania, umezipa faida kubwa nchi za kigeni kwa kuzalisha maelfu ya kazi kupitia korosho zinazotoka Tanzania. Serik...

MIAKA MITATU YA AWAMU YA TANO

Image

MIAKA MITATU YA AWAMU YA TANO

Image

ZIARA YA MAKAMU WA RAIS KATIKA KIWANDA CHA KNAUF MKURANGA- PWANI

Image
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Sululu Hassan akipata taarifa ya maendeleo ya uwekezaji wa kampuni ya KNAUF nchini kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu Tanzania, Bw. Zachopolous Georgions.  Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa KNAUF Gypsum Afrika Mashariki, Zachopoulos Georgios wakati alipotembelea kukagua maendeleo ya kiwanda hicho. Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu akipokelewa na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi ambaye pia ni mbunge wa Mkuranga, Abdalla Ulega  wakati alipowasili katika eneo la kiwanda Mkuranga Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu akiongea na uongozi ,wafanyakazi na wageni mbalimbali katika ziara hiyo  Mkurugenzi Mtendaji wa KNAUF Gypsum Afrika Mashariki, Zachopoulos Georgios akielezea macheche kwa Makamu wa Rais juu ya kiwanda hicho. Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa KNAUF Gypsum Afrika Mashariki, Zachopoulos Georgios mara baada ya kumaliza kutoa ...
Image
Kivuko cha MV Nyerere kinachofanya safari zake kati ya Bugorara na kisiwa cha Ukala katika ziwa Victoria kimezama huku taarifa za idadi ya watu waliokuwemo ndani ya kivuko hazijajulikana

NYARAKA ZA KALE ZA UZAZI,NDOA,VIFO,TALAKA NA UTAMBULISHO KUHIFADHIWA KIDIGITALI ZANZIBAR

Image
Zaharan Nassor Mhifadhi Mkuu wa Nyaraka wa wakala wa usajili wa matukio ya kijamii Zanzibar akionyesha Nyaraka Kongwe zaidi yenye majina ya Uzazi kuanzia mwaka 1909 hadi 1911 Jengo la mwanzo la Uhifadhi wa Nyaraka za Usajili wa Uzazi,Ndoa,vifo,Talaka na Utambulisho Mambo Msiige Mtaa wa Shangani ambapo leo ni Hotel ya Hyatt Bi Mwanajuma Mwinyi Mohamedy Msajili wa vizazi na vifo Wilaya ya Kati Mkoa wa kusini Unguja akichambua Taarifa  za mwananchi ili kujaza vyeti mbali mbali vya Wazanzibar Serikali ya SMZ inachakata Taarifa hizi zote na kuzitunza kidigitali,Tayari vituo 11 vya kisasa vimejengwa Katika kila wilaya ili kusaidia usajili na kuboresha taarifa za wananchi Zanzibar Dr Hussein Khamis Shaaban, Mkurugenzi mtendandaji wa wakala wa usajili wa matukio ya kijamii akikagua Nyaraka za Kale  za vizazi  na vifo ambazo zinachakatwa kuwekwa katika mfumo wa Kidigitali Sehemu ya Mabuku ya kale yenye kumbu kumbu za Vizazi,Vifo,Ta...

JPM AKIANGALIA NDEGE MPYA IKITUA AIRPORT - DSM

Image