ZIARA YA MAKAMU WA RAIS KATIKA KIWANDA CHA KNAUF MKURANGA- PWANI


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Sululu Hassan akipata taarifa ya maendeleo ya uwekezaji wa kampuni ya KNAUF nchini kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu Tanzania, Bw. Zachopolous Georgions.
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa KNAUF Gypsum Afrika Mashariki, Zachopoulos Georgios wakati alipotembelea kukagua maendeleo ya kiwanda hicho.
Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu akipokelewa na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi ambaye pia ni mbunge wa Mkuranga, Abdalla Ulega wakati alipowasili katika eneo la kiwanda Mkuranga
Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu akiongea na uongozi ,wafanyakazi na wageni mbalimbali katika ziara hiyo
Mkurugenzi Mtendaji wa KNAUF Gypsum Afrika Mashariki, Zachopoulos Georgios akielezea macheche kwa Makamu wa Rais juu ya kiwanda hicho.
Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa KNAUF Gypsum Afrika Mashariki, Zachopoulos Georgios mara baada ya kumaliza kutoa maelezo ya kiwanda hicho.

Baadhi ya wafanyakazi na wageni wakisubiri kumpokea, Mh.Makamu wa Rais wakati alipotembelea kiwanda cha KNAUF akiwa ziarani mkoani Pwani.
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi ambaye pia ni mbunge wa Mkuranga, Abdalla Ulega akizungumza machache na Mkurugenzi Mtendaji wa KNAUF Gypsum Afrika Mashariki, Zachopoulos Georgios.
Eneo la kiwanda hicho.
Comments
Post a Comment