Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika gari maalumu wakati akiingia uwanja wa Jamhuri stadium kuapishwa urais kuongoza kwa awamu ya pili baada ya kushinda tena kwa aslimia 84 za kura zote zilizo pigwa katika uchaguzi wa mwaka huu, Mhe rais Dkt Magufuli ameapishwa uwanja wa Jamhuri Dodoma leo tarehe 5 Novemba 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiapa kuongoza nchi kwa awamu ya pili, Dodoma leo. Makamo wa rais mhe. Samia Suluhu Hassan akiapa mara baada ya rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kumaliza kuapa mapema leo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkuu wa majeshi Brigedia jenerali Venance Mabeyo wakati Mhe rais Magufuli akikagua gw...