PICHA MBALI MBALI ZA UAPISHO WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli  akiwa katika gari maalumu  wakati akiingia uwanja wa Jamhuri stadium kuapishwa urais   kuongoza  kwa awamu ya pili baada  ya kushinda  tena kwa aslimia 84 za kura zote zilizo pigwa katika uchaguzi wa mwaka huu, Mhe rais  Dkt Magufuli ameapishwa  uwanja wa Jamhuri Dodoma  leo tarehe 5 Novemba 2020

Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiapa kuongoza nchi kwa awamu ya pili, Dodoma leo.

Makamo wa rais mhe. Samia Suluhu  Hassan akiapa mara  baada ya rais    wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kumaliza kuapa mapema leo.

 

Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkuu wa majeshi Brigedia jenerali Venance Mabeyo wakati  Mhe rais Magufuli  akikagua  gwaride lililoandaliwa kwa ajili yake

PICHA NA IKULU DODOMA

Comments

Popular posts from this blog

HAYA NDIYO BAADHI YA YALIYOSABABISHA UCHAGUZI ZANZIBAR UFUTWE

MAKAMU WA RAIS APONGEZA KIWANDA CHA IVORY FOOD& BEVARAGE IRINGA

LIGI KUU YA MUUNGANO YA NETIBOLI KATI YA POLISI MORO NA TTPL UWANJA WA GYMKHANA. TIMU YA POLISI MORO IMESHINDA 36-33