Posts
SHIRIKA LA NDEGE LA TANZANIA (ATCL) LAZINDUA RASMI SAFARI ZAKE ZA NDEGE KUTOKA DAR ES SALAAM HADI GEITA
- Get link
- X
- Other Apps

Captain Noel Komba (kulia) akiwa na wafanyakazi wenzie Flight Officer Abdallah Yasin senior cabin crew Happy Kimbe na Diana Nkomola walioweka historia ya kufanya safari ya kwanza ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) wakati Ndege yake aina ya Bombardier Q-400 ilipotua uwanja wa Ndege wa Geita, Chato leo tarehe 09 Januari 2020 katika uzinduzi wa safari zake mkoani humo. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Leonard Chamuriho akiwa na viongozi wengine wakipata picha ya kumbukumbu ya mapokezi ya Ndege ya Shirika la Ndege la ATCL aina ya Bombardier Q-400 katika uwanja wa Ndege wa Geita, Chato leo tarehe 09 Januari 2020 ikiwa ni uzinduzi wa safari yake ya kwanza mkoani Geita Abiria wanaoelekea Mwanza kutoka Geita wakipanda Ndege ya Shirika la Ndege la ATCL aina ya Bombardier Q-400 katika uwanja wa Ndege wa Geita, Chato leo tarehe 09 Januari 2020 wakati wa uzinduzi wa safari yake ya kwanza mkoani humo Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Leonard Chamuriho akionesha kikonyo cha...
MALENGO YA ZIARA YA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA CHINA KWA TANZANIA
- Get link
- X
- Other Apps
Ziara ya Mjumbe wa Baraza la Taifa na Waziri wa mambo ya nje wa China Mh...
- Get link
- X
- Other Apps
Dk.Hussein Ali Mwinyi amewatembelea Wafanya Biashara wa Kijangwani Zanzibar
- Get link
- X
- Other Apps
18 Nov 2020 Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Hassan Khatibu Hassan (katikati) alipokuwa akitoa maelezo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi kuhusu Mradi wa katika Eneo la Soko la Kijangwani Wilaya ya Mjini kabla Rais, kuzungumza na Wajasiriamali wadogo wadogo katika Soko hilo leo akiwa katika ziara ya Kikazi kujuwa Changamoto mbali mbali zinazowakabili Wafanyabiashara hao Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Hassan Khatib Hassan wakati alipowasili katika Soko la Wajasiriamali wadogo wadogo Kijangwani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo Changamoto mbali mbali zinazowakabili Baadhi ya Wafanyabiashara ndogo ndogo wakimsiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipozungumza nao na kuwataka kuwana subira wafanyiwe maamuzi sahihi ya kupatiwa Eneo jengine la kufanyika Bi...
RAIS DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMETANGAZA MAWAZIRI KATIKA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
- Get link
- X
- Other Apps
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitangaza majina ya mawaziri katika Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar . Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitangaza majina ya mawaziri katika Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali Serikali na Binafsi wakiwa katika ukumbi wa mikutano Ikulu Jijini Zanzibar wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitangaza majina ya mawaziri katika Wiza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitangaza majina ya mawaziri katika Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitangaza majina ya mawaziri katika Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Viongozi Wakuu wa Vikosi vya Ulinz...