Posts

WATANZANIA 11 MASHAKANI NCHINI MSUMBIJI,SIKU 365 HAWAJULIKANI WALIPO.

Image

NINI MKAKATI WA SERIKALI KUWALIPA MAPEMA WANANCHI BAADA YA MAENEO YAO KU...

Image

TAARIFA ZINAZOINGIA KATIKA MIOYO YETU NDIO ADUI MKUU

Image

SHIRIKA LA NDEGE LA TANZANIA (ATCL) LAZINDUA RASMI SAFARI ZAKE ZA NDEGE KUTOKA DAR ES SALAAM HADI GEITA

Image
Captain Noel Komba (kulia) akiwa na wafanyakazi wenzie Flight Officer Abdallah Yasin senior cabin crew Happy Kimbe na Diana Nkomola walioweka historia ya kufanya safari ya kwanza ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) wakati Ndege yake aina ya Bombardier Q-400 ilipotua uwanja wa Ndege wa Geita, Chato leo tarehe 09 Januari 2020 katika uzinduzi wa safari zake mkoani humo. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Leonard Chamuriho akiwa na viongozi wengine wakipata picha ya kumbukumbu ya mapokezi ya Ndege ya Shirika la Ndege la ATCL aina ya Bombardier Q-400 katika uwanja wa Ndege wa Geita, Chato leo tarehe 09 Januari 2020 ikiwa ni uzinduzi wa safari yake ya kwanza mkoani Geita Abiria wanaoelekea Mwanza kutoka Geita wakipanda Ndege ya Shirika la Ndege la ATCL aina ya Bombardier Q-400 katika uwanja wa Ndege wa Geita, Chato leo tarehe 09 Januari 2020 wakati wa uzinduzi wa safari yake ya kwanza mkoani humo Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Leonard Chamuriho akionesha kikonyo cha...

MALENGO YA ZIARA YA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA CHINA KWA TANZANIA

Image

Ziara ya Mjumbe wa Baraza la Taifa na Waziri wa mambo ya nje wa China Mh...

Image

Dk.Hussein Ali Mwinyi amewatembelea Wafanya Biashara wa Kijangwani Zanzibar

Image
 18 Nov 2020 Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Hassan Khatibu Hassan (katikati) alipokuwa akitoa maelezo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi kuhusu Mradi wa katika Eneo la Soko la Kijangwani Wilaya ya Mjini kabla Rais, kuzungumza na Wajasiriamali wadogo wadogo katika Soko hilo leo akiwa katika ziara ya Kikazi kujuwa Changamoto mbali mbali zinazowakabili Wafanyabiashara hao Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Hassan Khatib Hassan wakati alipowasili katika Soko la Wajasiriamali wadogo wadogo Kijangwani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo Changamoto mbali mbali zinazowakabili  Baadhi ya Wafanyabiashara ndogo ndogo wakimsiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipozungumza nao na kuwataka kuwana subira wafanyiwe maamuzi sahihi ya kupatiwa Eneo jengine la kufanyika Bi...