RAIS WA
ZANZIBAR DK SHEIN, AZUNGUMZA NA MWAKILISHI WA UNICEF

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mwakilishi wa UNICEF katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ms. Maniza S.Zaman alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe aliofuatana nao
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Mwakilishi wa UNICEF katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ms. Maniza S.Zaman alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe aliofuatana nao
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Mwakilishi wa UNICEF katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ms. Maniza S.Zaman (wa pili kulia) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe aliofuatana nao
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mwakilishi wa UNICEF katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ms. Maniza S.Zaman baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe aliofuatana nao leo, [Picha na Ikulu.]
Comments
Post a Comment