Dk Shein, Akabidhi Vifaa vya Michezo kwa Majimbo ya Unguja Kushiriki Michuano ya Ligi ya Majimbo ya Unguja Yanayotarajiwa Kuaaza terehe 24-3-2017.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na
Vijana Wanamichezo wa kishangilia wakati wa Rais wa Zanzibar
akiwahutubia wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa vya michezo kwa Timu za
Majimbo ya Unguja katika Ukumbi wa Afisi ya CCM Mkoana wa Mjini Amani
Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein . akimkabidhi Seti za Jezi Mbunge wa
Jimbo la Mpendae Zanzibar Mhe Salim Turky na Kiongozi wa Timu hiyo
Mohammed Maulid
Comments
Post a Comment