Baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Jecha Salim Jecha kuwataka waandishi wote wa habari za kiuchunguzi pamoja na watafiti kuweka hadharani na kuueleza umma kile kilichotokea Zanzibar, Waandishi na watafiti mabalimbalai wamejitokeza na vielelezo vinavyoeleza jinsi uchaguzi huo ulivyoharibika Vielelezo hivyo ni Nakala za fomu namba MUR. 12A za matokeo zilizotoka katika vituo vya kujumuisha kura ambazo zilikuwa zimejazwa kimakosa. Hii ni fomu kutoka Kituo cha Skuli ya Mabaoni namba 23801 , Jimbo la Chonga namba 2909 fomu hii siyo halali kutokana na kukosa mhuri wa tume ya uchaguzi Zanzibar. Msimamizi wa kituo ni Khamis mkungwa Zaid. Fomu nyingine inatoka katika kituo cha Urusi chenye namba 26503, katika jimbo la Jang’ombe namba 1940 A. Hii ni fomu kutoka kituo cha Gamba namba 2008 Hii ni fomu kutoka kituo cha Gamba namba 2008, Jimbo la Mkwajuni namba 1926, fomu hii imepoteza uhalali kwasababu imefutwafutwa na haina...
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akitembelea kiwanda cha Ivori Food & Bevarage leo Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan katikati akiongozana na mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza kushoto na mkurugenzi wa kiwanda cha Ivori Food & Bevaragena mkurugenzi Mtendaji Suhail Esmail Thakore Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akisalimiana makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan leo mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda cha Ivory Bw Suhail Esmail Thakore akitoa taarifa ya kiwanda hicho Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza baada ya kutembelea kiwanda cha Ivory Iringa Na Matukiodaima Blog MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaSamia Suluhu ...
Wachezaji wa Timu ya TTPL na Polisi Moro wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Muungano zinazofanyika katika viwanja vya Gymkhana Zanzibar timu ya Polisi Moro imeshinda 36--33. Mchezaji wa timu ya TTPL Mwanaasha Ali ( GS) akiwa na mpira huku mchezaji wa timu ya Polisi Moro Jawa Iddi (GD) akijiandaa kumzuiya katika mchezo wao wa kuwania Ubingwa wa Ligi Kuu ya Muungano ya Mchezo wa Netiboli yanayofanyika katika viwanja vya Gmykhana Zanzibar Timu ya Polisi Moro imeshinda 36--33. Kocha wa Timu ya TTPL akitowa maelezkezo kwa wachezaji wake wakati wa mapumziko ya kota ya tatu timu hizo zikiwa sare ya 25-25 Kocha wa Timu ya Polisi Moro akitowa maelezkezo kwa wachezaji wake wakati wa mapumziko ya kota ya tatu timu hizo zikiwa sare ya 25-25 Mchezaji wa Timu ya Polisi Moro Maryam Shabani (GS) na wa Timu ya TTPL Hawa Pembe wakiwania mpira. Semeni Aswile(WD) akidaka mpira katika mchezo wao wa Ligi Kuu ya Muungano mchezo uliofanyika uwanj...
Comments
Post a Comment