MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA) IMETOA ELIMU KUHUSU MATUMIZI SALAMA YA MTANDAO
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa elimu kuhusu matumizi salama ya mtandaokwa vijana wa ushirika wa Nibadilishe Foundation @the_changers_19 kutoka jijini Dar es Salaam, Tarehe 19 Oktoba, 2022. Semina hiyo pamoja na ajenda nyingine, imehusisha uhamasishaji wa matumizi salama ya mtandao kwa namna ambayo vijana wanaweza kunufaika na kukua kiuchumi.
Comments
Post a Comment