MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN APOKEA RIPOTI YA KIKOSI KAZI KUHUSU URATIBU MAONI YA WADAU WA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI VYA SIASA, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE 21 OKTOBA, 2022

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Kikosi Kazi kuhusu Uratibu maoni ya wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa kutoka kwa Mwenyekiti wa Kikosi Kazi hicho Profesa Rwekaza Mukandala katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Oktoba, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na Wajumbe wa Kikosi Kazi kuhusu Uratibu maoni ya wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Oktoba, 2022.
Viongozi pamoja na Wajumbe wa Kikosi Kazi kuhusu Uratibu maoni ya wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mwenyekiti wa Kikosi Kazi kuhusu Uratibu maoni ya wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa Profesa Rwekaza Mukandala, Makamu Mwenyekiti Hamad Rashid Mohamed pamoja na Wajumbe wa Kikosi Kazi hicho mara baada ya kupokea Ripoti yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Oktoba, 2022.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mwenyekiti wa Kikosi Kazi kuhusu Uratibu maoni ya wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa Profesa Rwekaza Mukandala pamoja na Makamu Mwenyekiti wa Kikosi Kazi hicho Hamad Rashid Mohamed mara baada ya kupokea Ripoti ya Kikosi Kazi hicho Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Oktoba, 2022.

Comments

Popular posts from this blog

HAYA NDIYO BAADHI YA YALIYOSABABISHA UCHAGUZI ZANZIBAR UFUTWE

MAKAMU WA RAIS APONGEZA KIWANDA CHA IVORY FOOD& BEVARAGE IRINGA

LIGI KUU YA MUUNGANO YA NETIBOLI KATI YA POLISI MORO NA TTPL UWANJA WA GYMKHANA. TIMU YA POLISI MORO IMESHINDA 36-33