WANAZUONI WA CHUO CHA DIPLOMASIA WAJADILI JUU YA SENSA YA WATU NA MAKAZI INAVYOWEZA KUTUMIKA KATIKA UTEKELEZAJI WA DIPLOMASIA YA UCHUMI. TAREHE 8 NOVEMBA 2022

Desderia Sabuni- Mkuu wa Idara ya Uhusiano wa Kimataifa Chuo cha Diplomasia akijadili juu ya Sensa ya watu na makazi (2022) inavyoweza kutumika katika Diplomasia ya Uchumi Tanzania.  

Seif Ahmad Kushengo Mratibu wa Sensa Kitaifa akitoa maelezo ya awali juu ya Zoezi zima la Sensa livyofanyika kitaifa

Balozi Mstaafu Modest Jonathan Mero akijadili Sensa ya Watu na Makazi inavyoweza kutumika katika Utekelezaji wa Diplomasia ya Uchumi. Tarehe 8 Novemba 2022

Desderia Sabuni mhadhiri msaidizi na mkuu wa idara ya Uhusiano wa kimataifa na Diplomasia,mbobezi katika diplomasia ya uchumi 

"Sensa inatoa dira ya uvutiaji wa wawekezaji,kiwango cha watu walioko nchini inaweza ikawa chachu ya fursa za uwekezaji nchini katika upatikanaji wa ajira,uwepo wa mitaji na uwepo wa soko."


Wanafunzi wa Chuo cha Diplomasia wakifuatilia mjadala wa Sensa ya Watu na Makazi inavyoweza kutumika katika Utekelezaji wa Diplomasia ya Uchumi.






Symphrosa Chaha Mratibu wa Mjadala wa Sensa ya Watu na Makazi inavyoweza kutumika katika Utekelezaji wa Diplomasia ya Uchumi.

Bi. Precious Obed Moshi- Mwanachuo Chuo Cha Diploamsia akijadili Matumizi ya Takwimu za Sensa ya Watu na Makazi (2022) kwa maendeleo ya Jamii.  


Wahadhili na wanafunzi wa Chuo cha Diplomasia wakifuatilia kwa makini mjadala waSensa ya Watu na Makazi inavyoweza kutumika katika Utekelezaji wa Diplomasia ya Uchumi.




 

Comments

Popular posts from this blog

JUHUDI ZA MWALIMU NYERERE KATIKA KUKUZA NA KUIMARISHA SEKTA YA UTALII NCHINI