Posts

SWAHILI INTERNATIONAL TOURISM EXPO - S!TE TANZANIA MLIMANI CITY CONFERENCE CENTRE, DAR ES SALAAM DAY 2. 22 OCTOBER 2022

Image
  Swahili International Tourism Expo focuses on inbound and outbound travel business to and within Africa. The event showcases the travel possibilities in Tanzania within & beyond the well-known attractions in National Parks, around Mount Kilimanjaro and on the beautiful beach Island of Zanzibar.

ASILI YETU. UTALII WETU.

Image
 

MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN APOKEA RIPOTI YA KIKOSI KAZI KUHUSU URATIBU MAONI YA WADAU WA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI VYA SIASA, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE 21 OKTOBA, 2022

Image
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Kikosi Kazi kuhusu Uratibu maoni ya wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa kutoka kwa Mwenyekiti wa Kikosi Kazi hicho Profesa Rwekaza Mukandala katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Oktoba, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na Wajumbe wa Kikosi Kazi kuhusu Uratibu maoni ya wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Oktoba, 2022. Viongozi pamoja na Wajumbe wa Kikosi Kazi kuhusu Uratibu maoni ya wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Oktoba, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mwenyekiti wa Kikosi Kazi kuhusu Uratibu maoni ya wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vy...

MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AHUTUBIA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 25 YA SHIRIKA LA WANAWAKE KATIKA SHERIA NA MAENDELEO BARANI AFRIKA (WILDDAF) JIJINI DAR ES SALAAM TAREHE 20 OKTOBA, 2022

Image
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali katika Maadhimisho ya miaka 25 ya Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika (WiLDAF) kwenye hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Oktoba, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapa Tuzo baadhi ya Waanzilishi wa Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika WiLDAF pamoja na vyeti kwa wadau waliofanikisha maendeleo ya Shirika hilo kwenye Maadhimisho ya miaka 25 ya kuanzishwa kwa Shirika hilo kwenye hafla iliyofanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Oktoba, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapa Tuzo baadhi ya Waanzilishi wa Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika WiLDAF pamoja na vyeti kwa wadau waliofanikisha maendeleo ya Shirika hilo kwenye Maadhimisho ya miaka 25 ya kuanzishwa ...

MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA) IMETOA ELIMU KUHUSU MATUMIZI SALAMA YA MTANDAO

Image
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetoa elimu kuhusu matumizi salama ya  mtandaokwa  vijana wa ushirika wa Nibadilishe Foundation @the_changers_19 kutoka jijini Dar es Salaam, Tarehe 19 Oktoba, 2022. Semina hiyo pamoja na ajenda nyingine, imehusisha uhamasishaji wa matumizi salama ya mtandao kwa namna ambayo vijana wanaweza kunufaika na kukua kiuchumi.