Posts

Showing posts from February, 2016

Utafiti Kufutwa kwa matokeo ZANZIBAR

Image

HAYA NDIYO BAADHI YA YALIYOSABABISHA UCHAGUZI ZANZIBAR UFUTWE

Image
Baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Jecha Salim Jecha kuwataka waandishi wote wa habari za kiuchunguzi pamoja na watafiti kuweka hadharani na kuueleza umma kile kilichotokea Zanzibar, Waandishi na watafiti mabalimbalai wamejitokeza  na vielelezo  vinavyoeleza jinsi uchaguzi huo ulivyoharibika Vielelezo hivyo ni Nakala za fomu namba MUR. 12A za matokeo zilizotoka katika vituo vya kujumuisha kura ambazo zilikuwa zimejazwa kimakosa. Hii ni fomu kutoka Kituo cha Skuli ya Mabaoni namba  23801 , Jimbo la Chonga namba  2909  fomu hii siyo halali kutokana na kukosa mhuri wa tume ya uchaguzi Zanzibar.  Msimamizi wa kituo ni Khamis mkungwa Zaid. Fomu nyingine inatoka katika kituo cha Urusi chenye namba 26503, katika jimbo la Jang’ombe namba 1940 A. Hii ni fomu kutoka kituo cha Gamba namba 2008 Hii ni fomu kutoka kituo cha Gamba namba 2008, Jimbo la Mkwajuni  namba 1926, fomu hii imepoteza uhalali kwasababu imefutwafutwa na haina mhuri wala jina la msimamizi wa k

UCHUNGUZI WABAINI KIONGOZI WA CUF ALIUHADAA ULIMWENGU ALIPOJITANGAZA AME...

Image