Posts

Showing posts from November, 2018

KASI YA SERIKALI YA JPM KWENYE KOROSHO; SASA VIWANDA VYAAMKA.

Image
Korosho ikiwa tayari kwa kusafirisha Tanzania ni mmoja wa wazalishaji wakuu zaidi wa korosho katika Afrika, mauzo ya karosho ya Tanzania huchangia asilimia kumi na tano ya fedha za kigeni. Tanzania ni mkulima wa 8 mkubwa zaidi duniani na wa 4 katika Afrika. Takwimu iliyotolewa mwaka 2012 na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) Tanznaia imekuwa imefanya vizuri katika uzalishaji wa zao la korosho tangu kabla ya uhuru, hata hivyo, udhibiti mbaya na ukosefu wa malipo ya kuaminika kwa wakulima wamesababisha uzalishaji wa korosho kutokuongezeka. Kwa kawaida mmea hupandwa katika mikoa ya kusini ya pwani, Mtwara, Kilwa na Dar-es-Salaam. Uuzaji wa korosho huendeshwa na Bodi ya Korosho ya Tanzania, kwa njia ya ushirika mbalimbali wa wakulima. Zaidi ya asilimia tisini ya mauzo ya nje ni nchini India, Ukosefu wa makampuni ya ubanguaji wa wa korosho ha Tanzania, umezipa faida kubwa nchi za kigeni kwa kuzalisha maelfu ya kazi kupitia korosho zinazotoka Tanzania. Serik

MIAKA MITATU YA AWAMU YA TANO

Image

MIAKA MITATU YA AWAMU YA TANO

Image

ZIARA YA MAKAMU WA RAIS KATIKA KIWANDA CHA KNAUF MKURANGA- PWANI

Image
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Sululu Hassan akipata taarifa ya maendeleo ya uwekezaji wa kampuni ya KNAUF nchini kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu Tanzania, Bw. Zachopolous Georgions.  Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa KNAUF Gypsum Afrika Mashariki, Zachopoulos Georgios wakati alipotembelea kukagua maendeleo ya kiwanda hicho. Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu akipokelewa na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi ambaye pia ni mbunge wa Mkuranga, Abdalla Ulega  wakati alipowasili katika eneo la kiwanda Mkuranga Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu akiongea na uongozi ,wafanyakazi na wageni mbalimbali katika ziara hiyo  Mkurugenzi Mtendaji wa KNAUF Gypsum Afrika Mashariki, Zachopoulos Georgios akielezea macheche kwa Makamu wa Rais juu ya kiwanda hicho. Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa KNAUF Gypsum Afrika Mashariki, Zachopoulos Georgios mara baada ya kumaliza kutoa maelezo ya kiwanda