Posts

Showing posts from November, 2020

Dk.Hussein Ali Mwinyi amewatembelea Wafanya Biashara wa Kijangwani Zanzibar

Image
 18 Nov 2020 Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Hassan Khatibu Hassan (katikati) alipokuwa akitoa maelezo mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi kuhusu Mradi wa katika Eneo la Soko la Kijangwani Wilaya ya Mjini kabla Rais, kuzungumza na Wajasiriamali wadogo wadogo katika Soko hilo leo akiwa katika ziara ya Kikazi kujuwa Changamoto mbali mbali zinazowakabili Wafanyabiashara hao Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Hassan Khatib Hassan wakati alipowasili katika Soko la Wajasiriamali wadogo wadogo Kijangwani Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo Changamoto mbali mbali zinazowakabili  Baadhi ya Wafanyabiashara ndogo ndogo wakimsiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati alipozungumza nao na kuwataka kuwana subira wafanyiwe maamuzi sahihi ya kupatiwa Eneo jengine la kufanyika Biashara za

RAIS DK.HUSSEIN ALI MWINYI AMETANGAZA MAWAZIRI KATIKA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

Image
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitangaza majina ya mawaziri katika Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar . Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitangaza majina ya mawaziri katika Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Waandishi wa habari wa vyombo mbali mbali Serikali na Binafsi wakiwa katika ukumbi wa mikutano Ikulu Jijini Zanzibar wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitangaza majina ya mawaziri katika Wiza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitangaza majina ya mawaziri katika Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitangaza majina ya mawaziri katika Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Viongozi Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi Za

Rais Dk.Hussein Mwinyi amewaapisha Mawaziri aliowateua Ikulu Zanzibar.

Image
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Haroun Ali Suleiman kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya  Rais, Katiba Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar, kufuatia uteuzi wake baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Octoba mwaka huu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Haroun Ali Suleiman kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe. Tabia Mwita Maulid kuwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo  katika hafla iliyofanyika leo viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar,kufuatia uteuzi wake baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwezi Octoba mwaka huu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe.Lela Mohamed Mussa kuwa Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale kat

KARIBU TANZANIA, KARIBU DAR ES SALAAM

Image
 

KAZI NDIO MSINGI WA MAENDELEO YETU TUTIMIZE WAJIBU WETU

Image