Posts

Showing posts from December, 2016
Image
KILIO CHA MBUNGE RIDHIWANI CHASIKIKA, RC NDIKILO ATOA MWEZI MMOJA KWA WAFUGAJI   wanakijiji cha Kitoga wakisikiliza  katika mkutano wa kutatua migogoro ya wakulima na wafugaji katika kijiji cha Kitoga kata ya Vigwaza Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Majid  Mwanga  akizungumza katika mkutano wa kutatua migogoro ya wakulima na wafugaji katika kijiji cha Kitoga kata ya Vigwaza Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Majid  Mwanga akizungumza kwa wananchi  katika mkutano wa kutatua migogoro ya wakulima na wafugaji katika kijiji cha Kitoga kata ya Vigwaza    Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo akitoa maelekezo kwa wanakijiji baada ya kufika katika kijiji cha Kitonga kutatua migogoro ya wakulima na wafugaji.   Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Majid  Mwanga akitoa maelezo kwa mkuu wa mkoa katika mkutano wa kutatua migogoro ya wakulima na wafugaji katika kijiji cha Kitoga kata ya Vigwaza   Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete akisalimiana na watendaji mkoa wa Pwani baada ya mkut
Image
RAIS MAGUFULI ASHIRIKI MSIBA WA MZEE MAARUFU WA CHATO ADMIRABILIS MBABE MANYAMA (82) CHATO MKOANI GEITA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 29 Desemba, 2016 ameungana na wananchi wenzake Wilayani Chato mkoani Geita kutoa pole kutokana na kifo cha Mzee Admirabilis Mbabe Manyama ambaye ni mzee maarufu wilayani hapa na Mzee James Lufunga Mchele ambaye ni jirani yake. Rais Magufuli pamoja na kuwapa pole wafiwa na wananchi wa Chato kwa kuondokewa na mpendwa wao pia amitaka familia ya mzee Manyama kuendelea kuishi kwa kushikamana na kupendana kama ilivyokuwa enzi za uhai wa marehemu na kuwataka kuepukana na mifarakano. ''Unapotokea msiba kama huu katika familia nyingi huzuka mifarakano, ombi langu kwenu wewe Mama mkubwa na Mama mdogo kamwe msikubali kufarakanishwa kutokana na kifo cha mume wenu,muwaongoze watoto wenu ili muendelee kuishi kwa kupendana kama enzi za uhai wa mzee'' Aidha Rais Magufuli amemuelezea Ma
Image
ZIARA YA NAIBU WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR, MHE:MIHAYO KISIWANI PEMBA KUTEMBELEA MIRADI YA TASAF. Mkurugenzi wa Uratibu Shuhuli za Serikali kutoka Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Ndg.Khalid Bakari Amran, akimuonyesha tuta linalojengwa na kaya masikini shehia ya ndagoni lenye urefu wa mita 200, Naibu waziri Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe:Mihayo Juma N’hunga,   wa pili kutoka kulia wakati alipotembelea kukagua kazi zinavyoendelea katika tuta hilo Hili  tuta linalojengwa kwa ajili ya  kuzuwia maji Chumvi lenye urefu wa mita 200, linalojengwa kwa nguvu kazi za wanakaya katika bonde la Kidau shehia ya Ndagoni, baada ya kumalizika ujenzi wake litaweza kuwarudisha wakulima zaidi ya 300, kuendelea kulima katika mashamba yao baada ya kuyahama kwa zaidi ya miaka miwili sasa Mratibu wa Tasaf Pemba Ndg.Mussa Said, akitoa maelezo ya ujenzi wa Tuta la kuzuwia maji ya Chumvi lenye urefu wa mita 200, kwa Naibu Waziri Ofisi ya Makam
Image
UVCCM Wamtembelea na Kumfariji Msanii Ben wa Bongo Movie.   Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mhe Sadifa Juma leo ameongoza  ujumbe wa viongozi wa UVCCM kumfariji na kumpa pole msanii wa maigizo ndg Abdul Ahmad jina la Usanii Ben Serengo nyumban kwao Kigogo Jijini  Dar Es Salam, aliyepata ajali ya gari tareh 25 siku ya  skukuu ya Christmas.  UVCCM inathamini sana mchango wa wasanii wa ndani na  inaguswa na  changamoto na matatizo mbali mbali yanayopata  wasanii hivyo Jumuiya itaendelea kuwa nao karibu kwa kuzingatia umuhimu wao katika jamii na Chama Cha Mapinduzi. Alisema Mwenyekiti wa UVCCM Taifa  Mhe:Sadifa Juma Khamisi(MCC/MB) alipokwenda Kumjulia Hali Msanii wa Bongo Movie Abdul Ahmad jina maarufu Ben Serengo wa pili kulia  na wa tatu kulia ni Kaimu katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka. Mwenyekiti wa UVCCM Taifa  Sadifa Juma Khamisi(MCC/MB)  wa nne kulia akitizama picha mbali mbali za tukio la ajali Msanii wa Bongo Movie Abdul Ahmad jina maarufu Ben  Sereng

MAGAZETINI LEO

Image