Posts

Showing posts from August, 2018

NYARAKA ZA KALE ZA UZAZI,NDOA,VIFO,TALAKA NA UTAMBULISHO KUHIFADHIWA KIDIGITALI ZANZIBAR

Image
Zaharan Nassor Mhifadhi Mkuu wa Nyaraka wa wakala wa usajili wa matukio ya kijamii Zanzibar akionyesha Nyaraka Kongwe zaidi yenye majina ya Uzazi kuanzia mwaka 1909 hadi 1911 Jengo la mwanzo la Uhifadhi wa Nyaraka za Usajili wa Uzazi,Ndoa,vifo,Talaka na Utambulisho Mambo Msiige Mtaa wa Shangani ambapo leo ni Hotel ya Hyatt Bi Mwanajuma Mwinyi Mohamedy Msajili wa vizazi na vifo Wilaya ya Kati Mkoa wa kusini Unguja akichambua Taarifa  za mwananchi ili kujaza vyeti mbali mbali vya Wazanzibar Serikali ya SMZ inachakata Taarifa hizi zote na kuzitunza kidigitali,Tayari vituo 11 vya kisasa vimejengwa Katika kila wilaya ili kusaidia usajili na kuboresha taarifa za wananchi Zanzibar Dr Hussein Khamis Shaaban, Mkurugenzi mtendandaji wa wakala wa usajili wa matukio ya kijamii akikagua Nyaraka za Kale  za vizazi  na vifo ambazo zinachakatwa kuwekwa katika mfumo wa Kidigitali Sehemu ya Mabuku ya kale yenye kumbu kumbu za Vizazi,Vifo,Talaka,Ndoa na U