Posts

Showing posts from January, 2016

MAMA FATUMA MAGIMBI AFICHUA SIRI CUF KUGUBIKWA NA RUSHWA

Image
Mwanasheria wa zamani wa CUF na kiongozi wa kwanza mwanamke wa kambi ya upizanibungeni Fatuma Magimbi afichua kile kilichomfanya kukihama chama cha Kafu Nilishuhudia rushwa ya wazi na upindishwaji wa jambo hili na viongozi wa chama hadi leo nasikitika sana,kauli mbiu yetu ilikuwa dhahili kupingana na jambo hili nasikitika hadi leo Wakatitukianza hapakuwa na jambo hili tulisimamia uadilifu na kupinga Ruswa kwasasa limekuwa mmno na si kwa CUF tuu kwa kila chama.. alifafanua mpiga chapa wa kwanza wahayati Karume kuanzaia mwaka 1965 Bi Fatuma Magimbi

KILELE CHA SHEREHE ZA MIAKA 52 YA MAPINDUZI MATUKUFU YA ZANZIBAR

Image

DR Magufuli!Aaambiwa Zanzibar majipu yapo ya kutisha

Image

Dkt. Shein afanya Uzinduzi wa Sherehe za Mapinduzi kwa Usafi wa Mazingira Kitaifa

Image
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifanya mahojiano na waandishi wa Habari leo baada ya kumalizika zoezi la Usafi wa mazingira uliofanyika leo eneo la Soko la Mbogamboga Mombasa Mjini Zanzibar ikiwa ni Uzinduzi wa Sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumzaa na wananchi baada ya kumalizika kwa zoezi la Usafi wa mazingira uliofanyika leo eneo la Soko la Mbogamboga Mombasa Mjini Zanzibar ikiwa ni Uzinduzi wa Sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. Baahi ya Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ wakitandaza kifusi kwa kukiweka sawa katika zoezi la Usafi wa mazingira uliofanyika leo eneo la Soko la Mbogamboga Mombasa Mjini Zanzibar ikiwa ni Uzinduzi wa Sherehe za miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizoa