Posts

Showing posts from March, 2017

MAGAZETI YA LEO IJUMAA

Image

RC MAKONDA AELEZA UJIO WA WAZIRI MKUU WA ETHIOPIA KESHO MACHI 31, 2017

Image
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul C. Mako nda akizungumza na waandishi wa habari kuelezea dhamira ya ujio wa Waziri Mkuu wa Ethiopia nchini Tanzania mapema leo katika Ukumbi wa Benjamin Mkapa Mjini Dodoma.(Picha Zote Na Mathias Canal) Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul C. Mako nda akisikiliza na kujibu maswali ya waandishi wa habari mapema leo katika Ukumbi wa Benjamin Mkapa Mjini Dodoma Baadhi ya Wakurugenzi wa Manispaa za Jiji La Dar es salaam wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul C. Makonda wakati akizungumza na Waandishi wa habari Waandishi wa habari wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul C. Makonda wakati akielezea ujio wa Waziri Mkuu wa Ethiopia Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo akimsikiliza kwa makini Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Paul C. Makonda wakati akizungumza na waandishi wa habari kuelezea ujio wa Waziri Mkuu wa Ethiopia katika Ukumbi wa Benjamin Mkapa Mjini D
Image
BALOZI WA KUWAIT NCHINI MHE. JASEM AL-NAJEM NCHINI ATEMBELEA MAKAO YA TAIFA YA WATOTO YATIMA KURASINI JIJINI DAR ES SALAAAM. Balozi wa Kuwait nchini, Jasem Al-Najem akizungumza  na watumishi,watoto yatima katika Makao ya Taifa ya Watoto yatima  Kurasini  katika ziara ya kutembelea miradi mbalimbali  jijini Dar es Salaaam.     Balozi wa Kuwait nchini, Jasem Al-Najem akitembezwa viunga vya Makao ya Taifa ya Watoto yatima Kurasini  jijini Dar es Salaam. Balozi wa Kuwait nchini, Jasem Al-Najem akipanda mti katika Makao ya Taifa ya Watoto Yatima  Kurasini  jijini Dar es Salaam.   Balozi wa Kuwait nchini, Jasem Al-Najem akikabidhi bengu za mbogamboga, Afisa Mfawidhi wa Makao ya Taifa ya Watoto  Yatima Kurasini,Beatrice Lawrance(kulia) leo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Kamishina Msaidizi wa Ustawi-wa Jamii,Siman Panga Kamishina Msaidizi wa Ustawi-wa Jamii, Simon Panga  akizungumza katika hafla ya  kutembelea miradi mbalimbali katika Makao ya Taifa ya Watoto