Posts

Showing posts from January, 2021

SHIRIKA LA NDEGE LA TANZANIA (ATCL) LAZINDUA RASMI SAFARI ZAKE ZA NDEGE KUTOKA DAR ES SALAAM HADI GEITA

Image
Captain Noel Komba (kulia) akiwa na wafanyakazi wenzie Flight Officer Abdallah Yasin senior cabin crew Happy Kimbe na Diana Nkomola walioweka historia ya kufanya safari ya kwanza ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) wakati Ndege yake aina ya Bombardier Q-400 ilipotua uwanja wa Ndege wa Geita, Chato leo tarehe 09 Januari 2020 katika uzinduzi wa safari zake mkoani humo. Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Leonard Chamuriho akiwa na viongozi wengine wakipata picha ya kumbukumbu ya mapokezi ya Ndege ya Shirika la Ndege la ATCL aina ya Bombardier Q-400 katika uwanja wa Ndege wa Geita, Chato leo tarehe 09 Januari 2020 ikiwa ni uzinduzi wa safari yake ya kwanza mkoani Geita Abiria wanaoelekea Mwanza kutoka Geita wakipanda Ndege ya Shirika la Ndege la ATCL aina ya Bombardier Q-400 katika uwanja wa Ndege wa Geita, Chato leo tarehe 09 Januari 2020 wakati wa uzinduzi wa safari yake ya kwanza mkoani humo Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Leonard Chamuriho akionesha kikonyo cha

MALENGO YA ZIARA YA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA CHINA KWA TANZANIA

Image

Ziara ya Mjumbe wa Baraza la Taifa na Waziri wa mambo ya nje wa China Mh...

Image