Posts

Showing posts from September, 2019

WAZIRI JAFO AOMBA TAMASHA LA JAMAFEST KUKUZA KISWAHILI KWA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI

Image
Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Selemani Jafo akizungumza alipotembelea katika Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Jumuiya ya Afrika Mashariki linalojulikana kama JAMAFEST linalofanyika jijini Dar es Salaam, Tanzania. Tamasha hilo limeanza Septemba 21 na linatarajiwa kuisha 28, 2019. Na Mwandishi Wetu. Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa Tamasha la utamaduni na sanaa la nchini za Afrika mashariki litumike kukiuza kiswahili ili na nchini mwanachama wa Afrika Mashariki waweze waongee lugha hii adhimu ambayo sasa ni lugha rasmi katika jumuiya za Afrika. Amesema hayo alipotembelea maonesho ya Tamasha la Uatamaduni na Sanaa la nchi za Afrika amashariki al-maalufu kama JAMAFEST linaloendelea kufanyika katika uwa nja wa Taifa jijini Dar es Salaam. "Nimetembelea mabanda mbalimbali na kujionea bi

SISITUMEAMUA UTAMADUNI WETU NDIO URITHI WETU.AMANI YETU NDIO NGUZO YETU

Image

BALOZI WA BURUNDI NCHINI TANZANIA AHUDHURIA TAMASHA LA JAMAFEST JIJINI DAR ES SALAAM

Image
Balozi wa Burundi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw. Gervais Abayeho (kulia) akisalimiana na wacheza ngoma kutoka nchini Burundi waliokuja kushiriki katika Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Jumuiya ya Afrika Mashariki linalojulikana kama JAMAFEST linalofanyika jijini Dar es Salaam, Tanzania. Balozi wa Burundi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw. Gervais Abayeho (kulia) akisalimiana na wacheza ngoma kutoka nchini Burundi waliokuja kushiriki katika Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Jumuiya ya Afrika Mashariki linalojulikana kama JAMAFEST linalofanyika jijini Dar es Salaam, Tanzania.  Balozi wa Burundi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bw. Gervais Abayeho na viongozi alioambatana nao akisalimia wananchi waliofika katika Tamasha la Sanaa na Utamaduni la Jumuiya ya Afrika Mashariki linalojulikana kama JAMAFEST linalofanyika jijini Dar es Salaam, Tanzania. Wacheza ngoma kutoka nchini Burundi wakitoa burudani katika Tamasha la San