Posts

Showing posts from April, 2017
Image
DKT. SHEIN MGENI RASMI UZINDUZI WA MSIKITI MASJID MADINATUL MUNAWARA - DONGE KITALUNI jengo la Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge Kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja uliojengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai ambapo umezinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,chini ya Usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,Mohamed Raza Daramsi. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) akisalimiana na Mwakilishi wa Jimbo la Donge,pia Waziri wa Fedha na Mipango Mhe,Dkt.Khalid Salum Mohamed wakati alipowasili katika viwanja vya Msikiti Masjidi Madinatul Munawara katika Kijiji cha Donge Kitaluni Wilaya ya Kaskazini "B' Mkoa wa Kaskazini Unguja leo alipofika kuuzindua msikiti huo uliojengwa kwa ufadhili wa Bibi Latifa Shehab Albreiki Nchini Dubai,chini ya usimamizi wa Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe,

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI

Image