Posts

Showing posts from March, 2016

MAELFU WANANCHI WAJITOKEZA KUPIGA KURA YA MARUDIO ZANZIBAR

Image

UJUMBE WA MUUNGANO WA VYAMA VINNE WAWASILI ZANZIBAR KUPATA UKWELI WA HALI YA UCHAGUZI WA MARUDIO

Image
Wakiwasili Ofisi kuu ya chama cha mapinduzi visiwani Unguja Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar akiwaeleza wajumbe hao ni kwanini alifikia maamuzi ya kufuta matokeo ya uchaguzi Nov 25 Fahimu Dovutwa akiwa makini kuandika yale aliyoyasikia kutoka kwa Mzee Jecha John Paul Shibuda ambae ni mwenyekiti wa ummoja huo akitokea ADA-TADEA Mzee  John Cheyo akisikilza kwa umakini Mwenyekiti wa ZEC akitoa ufafanuzi wa kilichotokea kwa ujumbe huo mbele ya wanahabari Katika ofisi za CCM ujumbe ulikutana na viongozi waandamizi wa CCM Zanzibar Ujumbe ukiwasili ofisi za CUF Kaimu katibu mkuu wa CUF afafanua kazia ya mtafaruku wa uchaguzi wa Zanzibar

JAJI MKUU WA ZANZIBAR AFAFANUA JUU YA UCHAGUZI WA MARUDIO TAREHE 20 MARC...

Image

ZEC YASEMA HAKUNA ALIYEJITOA KATIKA UCHAGUZI WA MARCH 20 KWA MUJIBU WA S...

Image