Posts

Showing posts from July, 2019

MKUTANO WA SADC NCHINI TANZANIA

Image
#SIW2019  

MAANDALIZI YA MKUTANO MKUU WA 39 WA SADC YANAENDELEA NCHINI TANZANIA

Image

RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA MRADI WA KUFUA UMEME WA MAJI KATIKA MTO RUFIJI

Image
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Nishati wa Misri Dkt. Mohamed Shaker wakivuta utepe kuashiria uwekaji wa Jiwe la Msingi mradi wa Ujenzi wa Kuzalisha umeme Megawati 2115 katika eneo la mto Rufiji katikati ya Morogoro na Pwani.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri wa Nishati wa Misri Dkt. Mohamed Shaker mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi mradi wa Ujenzi wa Kuzalisha umeme Megawati 2115 katika eneo la mto Rufiji katikati ya Morogoro na Pwani.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia pamoja na viongozi wengine mara baada ya tukio hilo la uwekaji wa Jiwe la Msingi.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Nishati wa Misri Dkt. Mohamed Shaker, Waziri wa Nishat

WAZIRI MKUU ATEMBELEA PIRAMIDI MISRI

Image
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa na mwenyeji wake, Waziri wa Kilimo na Uhaulishaji wa Ardhi Dkt. Azzeldin Abosteit (kushoto), wakati alipotembelea Piramidi mjini Cairo Misri, Julai 9.2019. Kulia ni Mkurugenzi wa Piramidi Ashraf Mohy. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akishika jiwe lililotumika kujengea Piramidi, wakati alipotembelea Piramidi hizo, mjini Cairo Misri, Julai 9.2019.  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa amepanda juu ya Piramidi, akionesha jambo wakati alipotembelea Piramidi hizo, mjini Cairo Misri, Julai 9, 2019.   Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa ndani ya Piramidi, wakati alipotembelea Piramidi hizo, mjini Cairo Misri, Julai 9, 2019.   Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiwa anashuka kwenye Piramidi, wakati alipotembelea Piramidi hizo, mjini Cairo Misri, Julai 9, 2019.  Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akipeana mkono na Mkurugenzi wa Piramidi Ashraf Mohy, wakati alipotembelea Piramidi mjini Cairo Misri, Julai 9.2019. T

MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI HAFLA YA CHAKULA CHA JIONI KILICHOANDALIWA NA RAIS WA NIGER

Image
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na  Rais Mahamdou Issoufou Niger, kwenye mkutano wa 12 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja  wa Afrika (AU) Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Felix Tshisekedi wa Congo kwenye  hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais Mahamdou Issoufou wa Niger Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akiingia kwenye Hafla ya Chakula cha Jioni kilichoandaliwa  na Rais Mahamdou Issoufou Niger, kwenye mkutano wa 12 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa  Umoja wa Afrika (AU) Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Emmarson Mnangagwa wa Zimbabwe  kwenye Hafla ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais Mahamdou Issoufou  Niger,  kwenye mkutano wa 12 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais Emmarson Mnangagwa wa Zimbabwe  kwenye Hafla ya Chakula cha Jioni kilichoandaliwa na Rais Mahamdou Issoufou Niger, kwen

RAIS WA KENYA UHURU KENYATTA AWASILI CHATO MKOANI GEITA NA KUPOKEWA NA MWENYEJI WAKE RAIS DKT. MAGUFULI KATIKA ZIARA YAKE BINAFSI YA SIKU MBILI

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea mgeni wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita kwa ziara binafsi ya siku mbili. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakati wakipita kwenye Gadi ya Heshma iliyoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita kwa ziara binafsi ya siku mbili. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakipungia mikono wananchi waliofika katika uwanja wa ndege wa Chato katika mapokezi ya Rais huyo wa Kenya. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wakizungumza wa wananchi wa Chato njiapanda wakati wakitokea uwanja wa Ndege wa Chato

VIONGOZI WA DINI IMARISHENI MALEZI KWA VIJANA - WAZIRI MKUU MAJALIWA

Image
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na waumini wa Kikristo, kwenye Mkutano wa Halmashauri Kuu ya 53 ya Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) ulioambatana na harambee ya kukusanya fedha kwa ajili ya ujenzi wa kitegauchumi cha jumuiya hiyo, uliyofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma Julai 5, 2019. Waziri Mkuu, amemwakilisha Rais Dkt. John Magufuli, katika mkutano huo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).   Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiteta jambo na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) Askofu, Alinikisa Cheyo, kwenye Mkutano wa Halmashauri Kuu ya 53 ya Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) ulioambatana na harambee ya kukusanya fedha kwa ajili ya ujenzi wa kitegauchumi cha jumuiya hiyo, uliyofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma Julai 5, 2019. Waziri Mkuu, amemwakilisha Rais Dkt. John Magufuli, katika mkutano huo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).