Posts

Showing posts from November, 2015

Ndug ALLY AMEIR WAZIRI WA ZAMANI TANZANIA, "Serikali inawanawajibika na...

Image

ALLY AMEIR WAZIRI WA ZAMANI TANZANIA, Hakuna wa kuingilia mamlaka ya Wat...

Image
  ALLY AMEIR WAZIRI WA ZAMANI TANZANIA,  Hakuna wa kuingilia mamlaka ya Watanzania katika maamuzi yao

FRAVIANA CHALRES - Makamu wa Rais Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS)

Image
Jopo la wanasheria lililokutana Zanzibar kwa siku tatu  limefurahishwa na juhudi za serikali kuhakikisha nchi iko katika amani na utulivu kwa kipindi chote cha kampeni na uchaguzi Tanzania Tumesikia Mengi toka kila kona hasa kuhusu hali ya kisiasa Zanzibar Tumekuja na kujionea wenyewe wananchi wa Zanzibar wanahitaji amani na utulivu kwa ustawi wa Taifa lao na wanafanya hivyo hakuna kile tulichoaminishwa na vyombo vya nje kwamba kuna hali tete Zanzibar nimepita kila kona sijaona hali hiyo pongezi kwa watanzania hawa lakini pongezi kwa serikali pia, Makamo wa rais wa Chama hicho Fraviana Chalres alifafanua Alisifu Juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano  wa Tanzania kwa kuonyesha moyo wa dhati kuwa tumikia Watanzania akiwataka wanasheria wote nchini wenye mapenzi mema na nchi hii kumuunga mkono rais wetu kwa kila hali,tunaomba kila mwenye uwezo wa kumwombea rais afanye hivyo anapambana na genge gumu lenye mizizi kila kona Pia aliitaka Tume ya Uchaguzi Zan

SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR YASEMA JUU YA HALI YA KISISA VISIWANI

Image

HALI YA AMANI ZANZIBAR KATIKA MAGAZETI YA TAREHE 27 NOVEMBA

Image

HALI YA AMANI ZANZIBAR KATIKA MAGAZETI YA TAREHE 27 NOVEMBA

Image

HALI YA AMANI ZANZIBAR KATIKA MAGAZETI YA TAREHE 27 NOVEMBA

Image

PICHA KUONYESHA HALI YA AMANI ZANZIBAR HIVI KARIBUNI

Image

MUONGOZO WA MAADILI YA VYAMA VYA SIASA KWA UCHAGUZI MKUU, 2015

Image

MWONGOZO NA MAADILI YA WAANGALIZI WA NDANI NA WA NJE WA CHAGUZI ZA ZANZIBAR

Image

TUME YA UCHAGUZI YA ZANZIBAR SHERIA YA UCHAGUZI, NAM. 11 YA 1984 KANUNI ZA UCHAGUZI [Chini ya Kifungu cha 130(1)]

Image