Posts

Showing posts from October, 2016

RAIS MAGUFULI AWASILI NCHINI KENYA

Image
Rais Dkt John Magufuli akipokewa na mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru Kenyetta,alipopokelewa Ikulu jijini Nairobi Nchini Kenya ambapo yupo kwenye ziara ya kikazi ya siku mbili. Rais Dkt John Magufuli akifurahi jambo na mwenye wake Rais Uhuru Kenyatta wakiwa Ikulu Nairobi. Rais Dkt John Magufuli akikagua gwaride la jeshi la Kenya Ikulu hii leo.  Rais Dkt John Magufuli akisalimiana na Naibu  Rais wa Kenya William Ruto. Rais Dkt John Magufuli kushoto akizungumza Ikulu ya Nairobi hii leo akiwa na mwenyeji wake Rais wa Kenya Uhuru  Kenyatta.

MAGAZETI YA LEO

Image
TANZANIA u UK

VIDEO YA MAKALA MAALUM YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUTOA ELIMU YA MPIGA KURA MKOANI SIMIYU.

Image

MWIJAGE: VIWANDA VIDOGO NA VYA KATI VIJENGWE KUKUZA SEKTA YA VIWANDA NA KUINUA PATO LA NCHI

Image
WAZIRI wa viwanda ,biashara na uwekezaji ,Charles Mwijage (mb),akisaini kitabu kwenye banda la  SIDO baada ya kuzindua  maonyesho ya tisa  ya wajasiriamali mwaka 2016 ,yaliyoratibiwa na SIDO Kanda ya Mashariki yanayofanyika wilayani Bagamoyo (picha na Mwamvua Mwinyi) Waanachi mbalimbali wakionekana kujitokeza kununua bidhaaa zilizotengenezwa kwa mikono ya wajasiriamali kutoka ndani ya Tanzania kwenye maonyesho ya tisa ya wajasiriamali mwaka 2016 ,yaliyoratibiwa na SIDO Kanda ya Mashariki ,yaliyofanyika wilayani Bagamoyo.(picha na Mwamvua Mwinyi) WAZIRI wa viwanda ,biashara na uwekezaji, Charles Mwijage (mb),akitembelea mabanda mbalimbali ya wajasiriamali waliojitokeza kuuza bidhaa zao kwenye maonyesho ya tisa  ya wajasiriamali mwaka 2016 yaliyoratibiwa na shirika la  kuhudumia viwanda vidogo vidogo SIDO ,Kanda ya Mashariki,yanayofanyika wilayani Bagamoyo. Mkuu wa mkoa wa Pwani mhandisi Evarist Ndikilo akizungumza jambo kabla ya kumkaribisha kuzungumza  na

MAGAZETINI LEO

Image
TANZANIA UK