Posts

Showing posts from February, 2023

MAKAMU WA RAIS UFUNGUZI WA MWAKA WA MAHAKAMA YA AFRIKA - ARUSHA

Image
Mpango akizungumza na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Jaji Imani Aboud wakati alipowasili Makao Makuu ya Mahakama hiyo mkoani Arusha kuhudhuria ufunguzi wa Mwaka wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu   tarehe 20 Februari 2023. (Kulia ni Makamu wa Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Jaji Blaise Tchikaya) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akihutubia Majaji, Viongozi na Watumishi mbalimbali wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na watu wakati wa Ufunguzi wa Mwaka wa Mahakama hiyo uliofanyika Makao Makuu ya Mahakama hiyo mkoani Arusha  tarehe 20 Februari 2023 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akipokea Vitabu vya Hukumu mbalimbali zilizotolewa na Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu tangu kuanzishwa kwakwe kutoka kwa Rais wa Mahakama hiyo Jaji Imani Aboud mara baada ya  Ufunguzi wa Mwaka wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na W

MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI WA LONGPING YA CHINA

Image
 

VODACOM Yaanzisha Huduma Mpya Kwa Walemavu Wasiosikia

Image
Mkurugenzi wa Kituo cha Sanaa na Utamaduni Kwa Viziwi Tanzania (KISUVITA) ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Viziwi Mkoa wa Dar es salaam Habibu Mrope, akifuatilia uzinduzi wa huduma ya alama ya vidole kwa wa wateja wenye changamoto ya kusikia leo Februari 15, 2023. Mkurugenzi wa huduma kwa wateja Vodacom, Herieth Lwakatare akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) baada ya kuzindua huduma mpya ya matumizi ya alama ya kwa wateja wao ambao wana changamoto ya kusikia. Baadhi ya walemavu wasiosikia wakiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa kampuni ya simu ya Vodacom.   Kampuni ya simu za mkononi Vodacom Tanzania imeanzisha huduma itakayowawezesha watu wenye ulemavu wa kusikia kuweza kupata huduma ya kuwasiliana na wahudumu wa mtandao huo kwa njia ya alama za vidole. Imesema imeazisha huduma hiyo kwa viziwi ili kuhakikisha kila mteja wao anapata huduma anayostahili bila kuachwa nyuma kwasababu ya kuwa na changamoto ya kusikia lakini pia ili waweze kuwasiliana. Hayo yamee

RAIS DKT SAMIA AANDIKA HISTORIA AFANYA UWEKEZAJI MKUBWA WA ZAIDI YA BILIONI 2 KITENGO CHA MIONZI HOSPITALI MKOA WA TANGA

Image
  Mkuu wa Idara ya Kitengo cha Mionzi na Picha katika Hospitali ya Mkoa wa Tanga Bombo,Dkt Goodluck Mbwilo akizungumza kuhusu uwekezaji huo mkubwa uliofanywa na Rais Dkt Samia Suluhu kwa ajili ya ujenzi wa jengo na ununuzi wa Mashine ya CT scan ambao umesaidia kwa asilimia kubwa kuwapunguzia mzigo wananchi waliokuwa wakifuata huduma hiyo mikoa mengine, kulia ni Mteknolojia Mionzi katika Hospitali hiyo, Bw. Athumani Rajabu Mashine ya CT Scan inayotumika katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga- Bombo Mteknolojia Mionzi katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tanga Bombo  Bw. Athumani Rajabu akizungumza wakati  akionyesha mashine kubwa waliyoipata yenye uwezo mkubwa wa kufanya uchunguzi kwa wagonjwa zaidi ya 100 kwa siku na Serikali imefanya kama zawadi kwa wananchi wa  mkoa wa Tanga. Mteknolojia Mionzi katika Hospitali ya Mkoa wa Tanga Bombo Bw.  Athumani Rajabu, akifanya matayarisho ya awali kabla ya kuwahudumia wagonjwa wanaohitaji kipimo cha CT Scan Na Oscar Assenga,Bombo- Tanga. SERI

RAIS SAMIA AWAAPISHA VIONGOZI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Image
  Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa (Mb) akiwa na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo (Mb) Balozi Mhe. Pindi Hazara Chana, pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Said Othman Yakub wakila Kiapo cha Maadili kwa Viongozi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, 15 Februari, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Mohamed Omary Mchengerwa (Mb) kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Februari, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Balozi Mhe. Pindi Hazara Chana (Mb) kuwa Waziri wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 15 Februari, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Said Othman Yakub kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo katika hafla iliyofanyika Ikul

RAIS MWINYI AKUTUNA NA UJUMBE WA KAMPUNI YA PUMA AFRIKA.

Image
  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Kiongozi wa Kampuni ya Puma Afrika Bw.Fadi Mitri  akiongoza Ujumbe wa Kampuni hiyo (hawapo pichani) ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa  mazungumzo yanayohusu  masuala mbali mbali ikiwemo uwekezaji wa Biashara ya Mafuta hapa Zanzibar.[Picha na Ikulu] 15/02/2023. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Kiongozi wa Kampuni ya Puma Afrika Bw.Fadi Mitri (wa pili kulia) akiongoza Ujumbe wa Kampuni hiyo ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa  mazungumzo yanayohusu masuala  mbali mbali ikiwemo uwekezaji wa Biashara ya Mafuta hapa Zanzibar.[Picha na Ikulu] 15/02/2023. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo wakati alipokuwa na mazungumzo na Ujumbe wa Kampuni ya  Puma Afrika ukiongozwa na Kiongozi Mkuu Bw.Fadi Mitri (wa pili kulia) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar,mazungumzo ha

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ashuhudia utiaji Saini Mikataba 26 ya Gridi Imara yenye thamani ya Shilingi Trillion 1.9, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Februari, 2023

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kushuhudia utiaji saini wa Mikataba 26 ya Gridi Imara yenye thamani ya Shilingi Trillion 1.9. Hafla ya utiaji saini Mikataba ya kuimarisha Gridi ya Taifa na usambazaji wa umeme Vijijini imefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Februari, 2023.   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akishuhudia Mkurugenzi wa Shirika la Umeme nchini TANESCO Maharage Chande akiwa pamoja na Mwanasheria wa Shirika hilo Zaharani Kisilwa wakati wakitia saini Mikataba mbalimbali ya Gridi Imara na Wakandarasi mbalimbali kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Februari, 2023. . . . . . . . . Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akishuhudia Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Umeme Vijijini REA Eng. Hassan Saidy pamoja na Mwanasheria wa REA Mussa Muze wakati wakitia saini Mikataba ya kupeleka Umeme maeneo mbalimbali nchini kwenye hafla il

TANZANIA KUNUFAIKA NA BILIONI 120/- KUTOKA GEF KULINDA MAZINGIRA

Image
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga akifungua Warsha ya siku mbili ya Wadau na Wataalamu wa Mazingira inayolenga kuainisha vipaumbele vya miradi ya mazingira na mabadiliko ya tabianchi inayosimamiwa na GEF jijini Dodoma  Februari 13, 2023. Wadau na Wataalamu wa Mazingira wakiwa katika Warsha inayolenga kuainisha vipaumbele vya miradi ya mazingira na mabadiliko ya tabianchi inayosimamiwa na GEF jijini Dodoma Februari 13, 2023. Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga (kulia) akiteta Mwakilishi wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) anayeshughulikia Mfuko wa GEF, Bi. Christine Haffner-Sifakis (kushoto) wakati kifungua Warsha ya siku mbili ya Wadau na Wataalamu wa Mazingira inayolenga kuainisha vipaumbele vya miradi ya mazingira na mabadiliko ya tabianchi inayosimamiwa na GEF jijini Dodoma leo Februari 13, 2023. Katikati ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Switbert Mkama Mgeni rasmi Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi.

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK.HUSSEIN ALI MWINYI AFUNGUA MAONESHO YA SIKU 3 YA UTALII NA UWEKEZAJI ZANZIBAR 2023

Image
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imedhamiria kwa dhati kuiendeleza sekta ya Utalii na kuongeza thamani na ubora kwa kutumia mikakati tofauti ikiwemo kuongeza vivutio. Rais Dk. Mwinyi ameyasema hayo alipofungua Maonesho ya siku 3 ya Utalii na Uwekezaji Zanzibar 2023 yenye washiriki zaidi ya 200 kutoka Mataifa mbalimbali duniani.  Maonesho hayo yenye maudhui ya 'Greener Zanzibar'  ambayo yanalenga kuibadilisha  Zanzibar kuwa fikio la utalii endelevu, yaani 'Sustainable Tourism Destination' 📅 09 Februari 2023, 📍 Jengo la Kihistoria la Beit El Amaan, Zanzibar