MAMA FATUMA MAGIMBI AFICHUA SIRI CUF KUGUBIKWA NA RUSHWA



Mwanasheria wa zamani wa CUF na kiongozi wa kwanza mwanamke wa kambi ya upizanibungeni Fatuma Magimbi afichua kile kilichomfanya kukihama chama cha Kafu

Nilishuhudia rushwa ya wazi na upindishwaji wa jambo hili na viongozi wa chama hadi leo nasikitika sana,kauli mbiu yetu ilikuwa dhahili kupingana na jambo hili nasikitika hadi leo

Wakatitukianza hapakuwa na jambo hili tulisimamia uadilifu na kupinga Ruswa kwasasa limekuwa mmno na si kwa CUF tuu kwa kila chama.. alifafanua mpiga chapa wa kwanza wahayati Karume kuanzaia mwaka 1965 Bi Fatuma Magimbi

Comments

Popular posts from this blog

JUHUDI ZA MWALIMU NYERERE KATIKA KUKUZA NA KUIMARISHA SEKTA YA UTALII NCHINI