NYARAKA ZA KALE ZA UZAZI,NDOA,VIFO,TALAKA NA UTAMBULISHO KUHIFADHIWA KIDIGITALI ZANZIBAR


Zaharan Nassor Mhifadhi Mkuu wa Nyaraka wa wakala wa usajili wa matukio ya kijamii Zanzibar akionyesha Nyaraka Kongwe zaidi yenye majina ya Uzazi kuanzia mwaka 1909 hadi 1911
Jengo la mwanzo la Uhifadhi wa Nyaraka za Usajili wa Uzazi,Ndoa,vifo,Talaka na Utambulisho Mambo Msiige Mtaa wa Shangani ambapo leo ni Hotel ya Hyatt


Bi Mwanajuma Mwinyi Mohamedy Msajili wa vizazi na vifo Wilaya ya Kati Mkoa wa kusini Unguja akichambua Taarifa  za mwananchi ili kujaza vyeti mbali mbali vya Wazanzibar

Serikali ya SMZ inachakata Taarifa hizi zote na kuzitunza kidigitali,Tayari vituo 11 vya kisasa vimejengwa Katika kila wilaya ili kusaidia usajili na kuboresha taarifa za wananchi Zanzibar

Dr Hussein Khamis Shaaban, Mkurugenzi mtendandaji wa wakala wa usajili wa matukio ya kijamii akikagua Nyaraka za Kale  za vizazi  na vifo ambazo zinachakatwa kuwekwa katika mfumo wa Kidigitali


Sehemu ya Mabuku ya kale yenye kumbu kumbu za Vizazi,Vifo,Talaka,Ndoa na Utambulisho ambapo zitahifadhiwa katika kanzi data ya Wakala wa Usajili wa Vizazi,Vifo,Ndoa Talaka na Utambulisho Zanzibar



Comments

Popular posts from this blog

JUHUDI ZA MWALIMU NYERERE KATIKA KUKUZA NA KUIMARISHA SEKTA YA UTALII NCHINI